Habarini wadau, nimeona leo kitu cha kushtua kidogo, Shirika la bima la Taifa (NIC) wameingia barabarani wakishirikiana na Traffic kukagua bima za vyombo vya moto.
Hili jambo linakaaje kwa watu...
Salaam Wakuu wa JamiiForums,
Katika mji wa haki, kuna wenye viti vya dhahabu na kuna waliokalia mawe. Kuna wanaokula bila kupika, na kuna wanaopika bila kuonja. Katika soko la wazi, sauti za...
Mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru. Kweli ni neno la mungu.
MUNGU haabudiwi kila mahali, yeye anautaratibu mmoja. Anachagua sehem ya kuabudiwa. Na wote watakaomuabudu hapo basi watampata na...
Ikiwa ni msimu wa sita kwa Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt. Tulia Akson kugawa bima na mahitaji muhimu kwa...
Yuko wapi ? Je bado ni mbunge ? Imebidi kuomba kumfahamu zaidi , maana tetesi zinaonyesha kwamba kuna ndugu yake alidakwa na sembe pale AIRPORT , je yeye mwenyewe hakuhusika ? Elimu yake sina haja...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko hilo ili waendelee na biashara zao...
Habari zenu wataalam,
Tunafahamu Serikali ya jamhuli ya muungano wa Tanzania haitambui uraia pacha.
Kwa kesi ya namna hii mali za raia aliebadili uraia mali zake utafishwa.
Naomba wabobezi wa...
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wamewataka wakandarasi wa ukarabati wa skimu ya umwagiliaji ya Ndungu na Kihurio kuongeza kasi ili wananchi waweze kunufaika...
Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia.
Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na...
Moyo wa binadamu ni kiungo cha ajabu, kilichozungukwa na siri za kustaajabisha ambazo bado hazijafichuliwa kikamilifu. Ingawa ni kidogo na kisichoonekana kwa nje, moyo una nguvu kubwa zaidi kuliko...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma Shaban Millao mara baada ya kupokea barua ya kuhitajika kwa msaada wa mtoto Abuyasili Abdi Iddy mara moja ameacha kazi zote...
Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imeufikia mkoa wa Arusha na tarehe 27 Februari 2025 imeendelea katika Wilaya ya Longido mji wa Namanga na kata zake
lengo ikiwa ni kuwafikia wakazi wa meeneo yote...
Maafisa maendeleo ya Jamii pamoja na Watendaji wa Serikali wilayani Nyang’hwale, mkoani Geita, wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa vijana kuhusu matumizi sahihi ya mikopo ya asilimia 10...
𝗖𝗵𝗶𝗻𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗷𝗲𝗻𝗴𝗮 𝗻𝗱𝗲𝗴𝗲 𝘇𝗮 𝗻𝘂𝗰𝗹𝗲𝗮𝗿 𝗱𝗿𝗼𝗻𝗲𝘀 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝗿𝘂𝗸𝗮 𝗺𝗶𝗹𝗲𝗹𝗲 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗮 𝗮𝗿𝗱𝗵𝗶𝗻𝗶
Kampuni ya Teknolojia ya Nishati mpya ya Betavolt iliyopo nchini China imezindua betri ndogo ya Nyuklia...
Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha...
Naona Hati Miliki nyingi zina sharti la kuendeleza kiwanja ndani ya miezi 36, huu muda hautoshi, walau iwe miaka mitano, au ihesabiwe kwa asilimia ya maendelezo.
Ni hayo tu
Nimetafakari sana juu ya jambo hili, katika mambo ambayo Watanzania bara wamekuwa wakimlalamikia Raisi Samia kwamba anafanya mambo fulani kama vile uraisi wake wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania...
Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025
1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra
2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone
3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu na kusisitiza suala zima la utunzaji na usimamizi wa Mazingira katika soko kuu la Kariakoo litakalokuwa linafanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.