Hii ni nchi moja isiyo na Dini ila watu wake wana Dini, Wapemba mkiwa huku bara hata muwe eneo lenye wakristo wengi ikifika kwarezma ukipakua chakula chako hakuna anaehangaika nawewe
Zanzibar...
Wanafanya hivyo kwa mgongo wa kukusanya pesa kwaajili ya kuendesha chama, kitu ambacho kabla ya uchaguzi walipiga kelele sana kwamba ndani ya chama hicho kuna matumizi mabaya ya pesa za chama...
Ndugu zangu habari za muda huu, naomba kujuzwa kwa mabaye nafahamu MKOA wa MWANZA Halmashauri ya wilaya KWIMBA sehemu inaitwa ICHEJA.
Hali ya hewa ya maeneo hayo ipoje?
Ni umbali gani kufika...
Serikali imekuwa ikitangaza ajira lakini mara kwa mara matokeo hayalingani na ahadi. hii ni kwakada zote
Hivi karibuni, tumeshuhudia uajiri wa walimu 6,000 badala ya 14,000 waliotarajiwa, bila...
Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini
Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza...
Nafsi tatu zinazofundishwa na madhehebu ya kikristo maana yake nini? Mantiki yake ni ipi? God is not a substance that can be divided into pieces.
Yako madhehebu ya kikristo yanayofundisha...
Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati.
Unaweza kupata maarifa zaidi...
Wilaya ya Kilosa imeanzisha jitihada za kufufua uwanja wa ndege wa Tende uliopo katika wilaya hiyo mkoani Morogoro, ambao ulipoteza umaarufu wake kwa kipindi cha miaka 30 kutokana na miundombinu...
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu...
1. Shule za sekondari hasa kidato cha sita.
Shule nyingi kwenye practical za physics, chemistry na Biology walimu wa masomo husika wanawachangisha wanafunzi pesa ili wawape madini mapema kabla ya...
MHADHARA (92)✍️
Ndoa nyingi za watanzania zimegeuka kuwa makampuni ya biashara. Siku hizi wasomi ni wengi lakini hawana ajira wala mitaji ya kuanzisha biashara, hivyo wamegeukia kutafuta mitaji...
Poop! Funika, funua... Ngoja niwafunulie!
Wadau wa JF, poleni na pilika za maisha, njooni tusimuliane! Leo nimekuja na bango lenye swali moja: "Tunaishi au tunapona?"
Maisha yetu ni kama bati la...
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ambayo huadhimishwa kila 27,Februari, mjadala kuhusu hali inayokabili sekta ya AZAKI imekuwa gumzo hasa kutokana...
All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu.
Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st...
Mbongo kwa ubunifu wa uharibifu au fursa humuwezi naona Pana platforms kibao wabongo wameanzisha zenye mfumo wa kuperform task za kuangalia video ili ulipwe kama ilivyokuwa lbl huku wakishawishiwa...
Habari zenu wana jamii forum.
Pili poleni kwa msiba wa kitaifa.
Nimekuja kwenu kuiongelea ishu ilotokea juzikati kama kichwa cha habari kinavosomeka. Bila ya shaka ishu hii inamuhusu afande sele...
Kwema wandugu?
Yani unakuta kuna tukio la kitaifa nakuja kuona matokeo tu mitandaoni. Juzi palikuwa na suala la tuzo za wachekeshaji. Nakuja kuona tu watu wanalalamika yule jamaa hajustahili. Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.