Habari za asubuhi,
Samahani mimi ni mgeni humu japokuwa nimekuwa mfuatiliaji wa habari mbalimbali za JamiiForums. nimeamua kuwa mwanafamilia ili na mimi niwe nachangia hoja,
Leo nitaomba...
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu...
Salaam, Shalom!!
Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki,
Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni.
Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia...
Ikiwa ni siku chache baada ya kuripotiwa kutoweka kwa Kijana Deusdedith Soka ambaye ni Mwanachama wa Chadema mkazi wa Temeke Dar es Salaam pamoja na wenzake wawili, Wakili Paul Kisabo amefungua...
Kama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda Moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari
Yaani abiria wa Moro kafika na...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo...
Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani...
Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo.
Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu
Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi...
Ofisi za TRA Temeke zote ni jipu la kutumbuka kabisa ninafatilia kuchange tin number location kutoka Temeke kwenda Ilala huu sasa ni mwezi wa tatu tangu tarehe 19/12/2025 mpaka sasa sijapata...
Wadau wa JF, heshima mbele!
Tunapita mitaani, tunaona nyuso zenye tabasamu, lakini mioyo mizito kama kokoto. Tanzania ni uwanja wa mapambano, na kila mtu ana njia yake ya kujikwamua. Wapo...
Azam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/-
Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na...
Kupata kazi kwenye meli za kitalii inaweza kuwa fursa nzuri kwa wale wanaopenda kusafiri na kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa. Ili kufanikiwa kupata kazi kwenye meli za kitalii, unaweza...
Katika msitu mnene, ulikuwa ukikusanya miti kwa ajili ya kujenga makazi yako. Jua lilikuwa linachoma kwa nguvu, na baada ya siku ndefu ya kazi, mwili wako ulianza kuchoka. Ukajikunyata chini ya...
Nimekuwa ni mtu mwema sana kwa mke wangu na matokeo yake ni kama nimekuwa ni kero kwa wasichana /wanawake wengi.
Wengi unawaambia nimeoa wanaheshimu mahusiano yaani hakuna wa kunisumbia ikifika...
Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo.
So nimegundua hawa watu are...
Kufunga ni Ibada ambao Mungu anakuwa karibu kujibu ombi na dua za mja wake
Kufunga ni kujinyima
Kufunga ni kutoa sadaka sana Kwa wahitaji
Kufunga ni Siri kati ya anae funga na Muumba
Kujitangaza...
Ingefaa TAKUKURU kama taasisi ya umma. Kutangaza hadharani ni kesi ngapi mpaka sasa wameshinda huko Mahakamani? Pia kuna ugumu mkawa na social media account watu wafichue maovu kwa kuwatumia...
Afisa elimu wilaya Sikonge msingi mkoani Tabora ni kiongozi ambae haeleweki kwani maagizo mengi ya serikali amekuwa akiyakaidi huku akijigamba kwamba hakuna atakayeweza kumgusa. Nitaaainisha...
Wadau wa JF, heshima mbele!
Leo naendelea na mwendelezo wa "Acha Nikusanue, Mwana JF." Hili si somo la darasani, wala si hadithi ya kubuni. Ni ukweli usiochorwa kwenye magazeti, ni maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.