Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani.
Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa...
Nimejiuliza swali hilo kila mara.
Nini kinasababisha Aluminium furnitures kuwa ghali sana.
My observation ni kuwa they are not labour intensive...ni kata unganisha kirahisi and all is done!
Au...
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya...
“Everyday” wa Phil Collins
Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993...
Maandiko haya yote yanathibitisha nafasi ya Yesu Kristo katika kazi ya uumbaji.
Yohana 1:1-3
"Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika...
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Maana ya Niyyah na Mahali Pake Sahihi
Niyyah ni kusudio la ibada ambalo hutokea ndani ya moyo. Haihitaji kutamkwa kwa ulimi kwa sababu ni jambo la ndani ya nafsi. Mtume ﷺ na Maswahaba wake...
Salaam nyingi za za upendo kwenu wote.
Aprili 12, kila mwaka ni Siku ya Mtoto wa Mtaani Duniani.
Kaulimbiu Mwaka huu ni ‘TUWAJIBIKE’.
Uwajibikaji uanze ngazi ya familia kwa wazazi/ walezi...
Kila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho...
Kila siku ni habari njema yaani zinawaumiza na kuwatesa sana Haters wa Samia sana ila ndio hivyo tena usiyempenda amekuja
https://www.instagram.com/reel/DGqLKNEoYqd/?igsh=aTdnZDN1YjE2dXNs
My...
𝗟𝗘𝗢 𝗦𝗔𝗬𝗔𝗥𝗜 𝗭𝗜𝗟𝗘 𝗦𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗜𝗧𝗔𝗢𝗡𝗘𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗔𝗡𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗨𝗧𝗔𝗭𝗜𝗢𝗡𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗗𝗜 𝟮𝟬𝟰𝟬
😉 Kama ulikua na hamu ya kuziona Sayari zile saba zikijipanga kwenye mstari mmoja mnyoofu basi Leo ndo itakua...
Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani?
Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua...
Habari Wana JF,Leo ni tarehe 01_03_2025 Siku ya Jumamosi, Kwa wale Wasabato niwatakie Sabato Njema.
Nilimsikiliza mwanahistoria mmoja,nae aliniambia hivi,hapo zamani siku zilihesabiwa kuanzia...
BASHUNGWA: MWANANCHI KUPATA KITAMBULISHO CHA NIDA NDANI YA SIKU 14
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza mkakati wa Serikali ni kuhakikisha Mwananchi anapata Kitambulisho...
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamii forum, Watu (Wananchi ) wamekuwa wakilalamika juu ya hadha (usumbufu) wakati wakifuatilia juu ya kubadili majina Yao yalikosewa NIDA .
Kitu cha kwanza...
Nimeulizwa sana kwenye nyuzi, ngoja leo niwasimulie.
Jan 16, 2025 alinipigia simu ndugu yangu mmoja akasema anataka tuonanae. Nikamkaribisha nyumbani, akaja na akaanza kunielezea shida yake...
Salaam wanajamvi!
Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni.
Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St...
Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu.
Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah,
Point zangu ziko hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.