Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya CHADEMA na wana CHADEMA kulalamika mitandaoni kuwa wanahujumiwa na Vodacom. Baada ya kuonekana kuwa watu wanashindwa kukichangia chama kwa kile kilichoelezwa kuwa...
0 Reactions
Replies
Views
TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Ajira mpya utumishi wa mahakama mkoa wa iringa hatujalipwa fedha za kujikimu mpaka sasa.
0 Reactions
11 Replies
522 Views
Wanaume kuvaa 1. SKETI 2. HERENI 3. GAUNI Huwa mna maana gani? Uzi tayari.
3 Reactions
21 Replies
596 Views
Habari wanaJF . Kiufupi Mimi Baba wa watoto watatu ambao wote ni wa kike. Naishi nao pamoja na Mama yao . Tumefanikiwa kuishi miaka 12 mpaka sasa katika ndoa yetu. Changamoto kubwa ambayo...
43 Reactions
296 Replies
6K Views
MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameagiza wezi walioiba nguzo 147 katika uwanja wa ndege Moshi pamoja na fensi waya kurejesha mara moja na kudai kuwa serikali haitafumbia macho wizi huo...
1 Reactions
16 Replies
254 Views
Ni zile jamii za Wafugaji wa kuhama hama. Hawana makazi maalumu. Leo wako mbeya kwesho wako Tanga. Natoa wito kwa serikali, japo kila mtu ana haki ya kulinda, kutumza na kuishi kwa mujibu wa...
3 Reactions
16 Replies
204 Views
Prof Peter Erlinder ambaye ni wakili anayewatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ameomba kuwasilisha utetezi wake kwa niaba ya wateja wake kupitia picha za video yaani...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Haujachelewa 1. Kutubu na kuamua kuacha dhambi zinazokutesa kila siku 2. Kuanza kusave pesa hiyo ndogo unayoipata 3. Kuanza upya mahusiano yako ya kiimani, kimapenzi 4. Kufanya ndoto zako kuwa...
42 Reactions
103 Replies
1K Views
Tunapoelekea katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, hali inazidi kuwa ya kushangaza. Jana na leo, hoteli na nyumba za kulala wageni zimejaa – lakini si kwa ajili ya ibada au tafakari, bali kwa matendo...
8 Reactions
22 Replies
524 Views
As received! TANGAZO: KAMA WEWE AU NDUGU YAKO ALISOMA TEGETA HIGH SCHOOL NA HAJACHUKUA VYETI AU LEAVING...AENDE KUCHUKUA MWISHO MWEZI WA NNE.BAADA YA APO UTAPATA USUMBUFU SANA KWANI SHULE...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Aiseeeh, kichaa kaja tu dukani sikumbuki vurugu yoyote aliofanya despite ile kutokuwa comfortable na ujio wake Hii inaweza kuwa inamaanisha nini. Maana napitia kipindi kigumu sana katika...
2 Reactions
8 Replies
234 Views
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki...
6 Reactions
38 Replies
775 Views
Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao. P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba. sasa leo hii...
3 Reactions
5 Replies
170 Views
Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13...
0 Reactions
2 Replies
81 Views
Hivi hii Kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema...
2 Reactions
10 Replies
484 Views
Back
Top Bottom