Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Katika Uislamu, swaumu ya Ramadhan ni ibada yenye masharti na mwongozo maalum. Moja ya hoja zinazojitokeza ni iwapo kipofu anaweza kufunga, kwani kuna Aya na Hadithi zinazozungumzia umuhimu wa...
4 Reactions
8 Replies
322 Views
Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu...
3 Reactions
19 Replies
381 Views
Tumsifu Yesu Kristo wapendwa Leo hii tuna vuguvugu la uekumene, kutafuta umoja ambao Yesu kabla mateso, kifo na ufufuko wake aliuombea (soma Yohane 17). Kuna mambo mengi tunayoshirikiana na...
3 Reactions
14 Replies
310 Views
Uliwezaje Ku Overcome Depression/Msongo wa Mawazo Uliyowahi kupitia? wana jf Share Story Yako na Uhakika inaweza Kumsadia Mtu
4 Reactions
13 Replies
235 Views
Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company . Au mtu mwenye hoby kama yangu. So naishia kugairi kila mara Imagine sijafika hata BURUNDI tu. Kusafiri mwenyewe...
8 Reactions
32 Replies
553 Views
Nahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo Note: isiwe hizi microfinance
6 Reactions
130 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda...
5 Reactions
22 Replies
940 Views
Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni...
3 Reactions
0 Replies
77 Views
Nasikia hiyo Hela ni sawa na Shilingi Milioni Tano na Laki fulani hivi kwa hapa Tanzania na sawa na Dola za Kimarekani 2,400 ambao ni Mshahara wa Mawaziri Waandamizi wote wa Serikali ya Rais Samia...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo. Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa...
6 Reactions
104 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu, Natumai Mko Vyema na Mnaendelea Vizuri na Mapambano ya kila siku. Kwa wale ambao siku yao Haiko sawa labda kwa kuuguwa, kuuguliwa na kila Changamoto ambazo tunazipitia kama binadamu basi...
90 Reactions
330 Replies
14K Views
  • Redirect
Duniani kuna vingi vinatokea kwa upekee lakini vipo vyengine hutokea kwa upekee zaidi ya Sana Akiwa na Ujauzito wa wiki 16 Maggie Biemer alihisi hali tofauti iliyomlazimisha kwenda hospital...
1 Reactions
Replies
Views
Mwaka 2016 mwanamke mmoja aitwae Margareta Boemers akiwa mjamzito wa miezi 6 alikwenda kliniki kwa ajili kucheck maendeleo ya ujauzito wake. Baada ya vipimo mbalimbali ikiwemo ultrasound...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna taarifa za takwimu zilisambaa mwezi February, 2025 kuwa kundi la vijana ndio lenye idadi kubwa katika idadi ya watu Tanzania. Baada ya kusikia hizo taarifa machozi yalinitoka hasa nikiangalia...
2 Reactions
3 Replies
109 Views
Naomba msaada wenu namna ya Kupata pesa kutokana na kuwa na acc. Ya TikTok pia umuhimu wa live chat.
4 Reactions
16 Replies
358 Views
Sikiliza upate kuelewa na tafakari kwa umakini sana kabla ya kuchukua hatua.
1 Reactions
5 Replies
114 Views
Kwa kawaida watu woote duniani hufunga usiku kucha na hufungulia asubuhi kwa kufuturu na chai, chapati, mayai n.k.., pia kuna watu wengine wao hupendelea kufunga mchana kutwa na kufuturu...
2 Reactions
49 Replies
9K Views
  • Redirect
Zamani kulikuwa na watu wanaitwa Mafarisayo. Watu washika dini lakini wenye giza totoro ndani ya mioyo yao . Mafarisayo ni watu wenye SAUTI za upole, watulivu wawapo kwenye hadhara lakini moyoni...
26 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom