Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Rushwa imekuwa kama ugonjwa katika taasisi nyingi za serikali, ambapo kila kitu kinaonekana kuendeshwa kwa mlungula. Bila bahasha, huwezi kupata huduma kwa wakati, na bila "connections," mambo...
2 Reactions
2 Replies
101 Views
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya...
3 Reactions
12 Replies
562 Views
Hii inaitwa "Enlightenment stage "Ambayo nimeifikia sasa. Dunia ipo katika mfumo wa duality (uwili-uwili) kuwa there is God and devil Good and evil dark and light and etc Sasa katika Ku-hold...
1 Reactions
11 Replies
184 Views
Aiseee kulala lala mchana jau sana leo nikiwa nimelala nikaota nimepigiwa simu na kaka yangu ninayemfuatia kuzaliwa akidai tumefiwa na mama yetu mkubwa japo hatruna mama mzazi wala mama wakubwa...
1 Reactions
12 Replies
170 Views
Hapa nataka watu wajifunze Uisilamu. Wanausikia sikia tu. Ila hawaufahamu. Sasa ni muda wa kuufahamu. Nasisitiza. Hatutaki matusi na kashfa kwa uzi huu. Ni uzi wa kutoa Elimu naomba moderators...
0 Reactions
7 Replies
118 Views
Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga inaonyesha kua walitokea Afrika kaskazini upande wa Mashariki mwa Afrika yaani pande za Ethiopia/Uhabeshi, asili yao kuu waliitwa wa salsha hilo ni neno la...
5 Reactions
16 Replies
457 Views
Tusitafute views kwa kuwahusisha watoto na vitendo na maneno ambayo hayazingatii Parental Guidance. Huyu mtoto anaongea matusi makubwa sana ambayo ni kwa watu wazima tu ndiyo wanapaswa kuyatamka.
1 Reactions
74 Replies
2K Views
Bila Nguvu ya Dola na Mfumo, Watu Wengi wangejitokeza kupiga kura, na Kwa Jinsi mambo yalivyo, like Box la kupigia kula lingepewa Heshima inayo stahili. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread...
2 Reactions
7 Replies
152 Views
Biashara ya ufugaji wa kuku mayai ipo katika hali mbaya sana. Bei za mayai ya kisasa zimeshuka kiasi kwamba wafugaji wanashindwa kulipia vyakula vya kulisha kuku wao. Taarifa ambazo...
4 Reactions
20 Replies
604 Views
Kuna sehemu niliwahi kukaa jirani na kanisa la wasabato. Almost 80 % ya mahubiri niliyokuwa nayasikia ni kuwaponda wakatoliki. Kwamba wao ndio yule joka kuu, mara mwanamke yule kahaba mkuu...
5 Reactions
27 Replies
421 Views
Ni kudanganya Umma. Kuwa uislamu ni Dini ya Amani. Haina hiyo Misingi. Muhamad hakuwahi hubiri au sambaza upendo. Aliishi kwa upanga.
1 Reactions
2 Replies
83 Views
Kulikuwa na hekaheka kila kona ya nchi. Mitaa ilikuwa hai usiku na mchana, watu wakijadili jambo moja—mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyokuwa yametokea. Kwa mara ya kwanza katika historia ya...
2 Reactions
2 Replies
80 Views
Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza...
1 Reactions
2 Replies
124 Views
Kampeni ya Mtu ni Afya tarehe 1 machi 2025 imeendelea kutimua vumbi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kutembelea kata ya Makuyuni kujionea hali ilivyo ya utekelezaji wa afua tisa na kutoa...
0 Reactions
2 Replies
81 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake. Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025...
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni...
1 Reactions
3 Replies
93 Views
Serikali mkoani Singida, imeonya wafanyabiashara watakaopandisha bei za vyakula kuelekea mfungo wa Ramadhani, kwa Waislamu na Kwaresma kwa Wakristo, huku ikisema haitavumilia hatua yoyote ya...
0 Reactions
3 Replies
93 Views
Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watumiwa 10 kwa makosa mbalimbali ikiwemo utapeli Kwa kutumia kampuni ya kitapeli ijulikanayo kama Manyara LBL Company Limited inayotoa huduma za...
2 Reactions
84 Replies
3K Views
Back
Top Bottom