kuhusu hali ya baadhi ya magereza na baadhi ya vituo vya polisi, ambavyo mahabusu na wafungwa wamekuwa wakijisaidia kwenye ndoo badala ya vyoo rasmi.
-
“Huu utaratibu faida yake ni nini? Au ni...
Kuna nini kwenye haya makanisa au Kuna Siri Gani imejificha? Nimeamua nikae siriaz Sasa nifikirie nikachukue nguvu za upako na Mimi nifungue ministry yangu.
Huyu naye anaitwa Apostle Ama pasta...
In the heart of Tanzania, near the shimmering shores of Lake Eyasi, lives one of Africa’s last true hunter-gatherer tribes—the Hadzabe. For thousands of years, they have roamed these lands, their...
Ndugu zangu watanzania,
Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza hivi inachukua muda gani katika kubadirisha jina la kwenye kitambulisho cha NIDA ikiwa ushafata taratibu zote ikiwemo, Deed poll, tangazo la gazeti na kulipia elfu...
Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.
Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.
Kuna tamasha...
Mzuka Wana jamvi....
Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha...
Ukiacha tabia za utekaji zilizoibuka nchini hivi karibuni na kasoro zinginezo ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Tanzania bado ni kati ya nchi ambayo naamini Raia wa Congo wanatamani nchi yao...
Toka nimehamia hapa nimeshaenda butcher zote ila kila sehemu mizani yao imechezeshwa.
Kila sehemu nilikuwa nikienda nikiona nyama pungufu nilikuwa naondoka.
Ila leo nimeenda buchani mwenye bucha...
Wakuu Jmosi inaendaje?
Tanzania tumebarikiwa kuwa na makabila mengi yenye tamaduni mbalimbali ambazo kiasi chake zinaanza kupotea kutokana na miingiliano na wageni pamoja na sababu nyinginkede...
Bado huyu jamaa ambaye anasota na kesi ya mauwaji ya mke wake. Lakini kila wakati ananiacha mdowo wazi na maswali mengi kwa namna anavyojibu na kuikwepa kesi yake hii.
Leo kasema mengine Alidai...
Muujiza au miraculous/miracle hii ni nguvu ya nuru isiyo ya kawaida na utumiaji wa nguvu kwa njia ya kushangaza ni istilahi chanya ya nguvu itendayo nje ya maarifa ya kawaida ya Mwanadamu...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutaarifu Umma kuwa haijafanya mazungumzo wala kutoa maelekezo yoyote ya kupewa leseni au kuruhusiwa kwa kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL), tofauti...
Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa...
Habarini za weekend ndugu zangu?
Hopefully mko poa Leo nipo hapa kuelezea kuhusu uchunguzi wangu kwanini WASANII wetu wakubwa kama DIAMOND, HARMONIZE na wengineo HAWAPATI deal izo za companies...
Mwanza. Shahidi wa 21 katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Liberatus Barlow ameieleza Mahakama mshtakiwa alivyomueleza namna alivyompiga risasi kamanda huyo...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amesema mwezi haujaonekana leo Ijumaa February 28,2025 na hivyo amewatangazia Waislamu wote kwamba mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan...
Nakumbuka enzi hizo kwenda Disco Toto Tembo Beach kila sikukuu za Mwisho wa mwaka, Wasanii wakija Karume Stadium tunasubiria mda wa fungulia mbwa ndipo tuingie wakati kiingilio ni 1000 tu watoto...
Kwa sasa hawa watu watakuwa washapata funzo kwa ukraine kuwa marekani ni wa kumkimbia na ni muda wa kuanza kujipanga kibabe maana wakija kuvamiwa hakuna cha bure
Marekani alimzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.