KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV...
Jana usku unafika kivukoni unapewa taarifa kuwa hamna huduma utumie njia mbadala! Una tumia 5K nauli kurud home tu!
Hii ni kero mno kma wameshndwa wampe mtu anayejiweza #tumechoka
PIA SOMA
-...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wameshukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi mbalimbal inayotekelezwa na TASAF nchini.
Salimu Mshana, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF...
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko MV. CHATO II HAPA KAZI TU kinachotoa huduma katika maeneo ya Chato, Mharamba, Izumacheli na visiwa vya jirani kuwa...
Kwa wakongwe, hebu njooni tukumbushane ukumbi maarufu wa kufanyika kwa matukio makubwa miaka. Ukumbi huo ni Diamond Jubilee, unakumbuka nini kuhusiana na ukumbi huo? Shea nasi
Tambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila.
Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na...
MADA: ASTROLOGY
MKUFUNZI: Dr. Rwakiunge Rugambwa (PhD)
UTANGULIZI:
Nyota ni nini?
Mara nyingi tunasikia watu huko nje au kila mahali wanazungumzia Nyota, Nyota, Nyota; lakini wanakuwa...
Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Manjis Logistics Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Tanga kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya...
Wadau wa Jamiiforums, pole na pilika za maisha, na natumai kila mmoja yuko salama. Leo hii nawaletea jambo ambalo litawafungulia macho kuhusu mabadiliko makubwa yanayotokea katika soko la ajira...
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imesema imepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wateja kuhusu vikomo vya malipo na miamala kwa akaunti za M-Pesa.
Kupitia taarifa yake kwa Umma...
Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?
Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA), Shukuru Awadhi Suleiman (kushoto) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji...
TBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha
Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa
Na hata Lebo na vizibo ni tofauti
Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
Ubungo:Watumishi wa Dawasa wanawajibu wananchi hovyo ni baada ya wananchi kukaa miezi 3 bila maji
Ubungo kibangu mtaa wa kajima watu wana miezi 3 bila maji, dawasa wamezuia maji kwa maksudi halaf...
Kuna wakati najiuliza maswali mengi nakosa majibu! Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo na kila mtu anafahamu hilo, ila tunaamua kuchagua tu kuziba masikio na kusema kuwa tupo sawa.
Hii picha...
Wakuu
Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa.
Hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.