Imekua ni kawaida kuota ndoto za nyoka yupo chumbani kwangu au kitandani kabisa. Na nikistuka huwa nipo na hofu kubwa sana.
Nini maana yake? Maana imekua ikinisumhua kwa mda mrefu sana!
Msaada...
Umri ni nambari tu lakin ni namba zinazokuja na uwajibikaji katika kila nyongeza ya namba.
Umri ni nambari tu lakini ni namba zisizokaa sehemu mmoja, kama vile zinavyoongezeka kila mwaka ndivyo...
Lulu Diva apigwa Iphone 16, alimpa mlinzi wake wamuwekee chaji
Msanii wa muziki @luludivatz amejikuta katika wakati mgumu baada ya simu yake Iphone 16 kuibiwa na mtu asiyejulikana.
Tukio hilo...
Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo?
1.Marekani
2.uingereza
3.Canada.
4.Saudi Arabia
5U.A.E
6.N.K
Tafadhalini naomba mnijuze...
Habari wanajamvi,
Leo nimekuja na habari ya kweli na kusikitisha iliyonipa maswali magumu ambayo ni haya kwanza Chunusi wa baharini ni jini au mnyama? Je sayansi inatambuaje maiti iliyouliwa na...
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.
👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.
👉Mkakati wa...
Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri,
Kuna askari jina kapuni uyu...
Habari wakuu
Nasikitika sana kuona matukio ya watu wanajikuta hivi
Kwamfano Kuna huyu jamaa aliyekuja kwasababu ya madeni ya mkewe eti mkewe ana Madeni ya vicobaaa duuuh aiseee
Hii ni...
Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ni uwanja wa michezo uliopo katika jiji la Arusha
Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka)na shughuli nyingine...
Twende Direct kwenye hoja/Topic.
Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi...
IKO HIVI ......
1. SCENARIO 01
Tumuite John.
John ni...
Habari wakuu,
Kwenye maisha Kuna mambo mengi na mengi bado hayafamiki,lakini Kuna msemo wa wahenga kua ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
Mimi ni kijana mwanaume ambayo katika pitapita...
Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema wenye madaftari ya wageni kujiandikisha kwenye malango ya ofisi zao wanafanya makosa kwa mujibu wa Sheria ya Taarifa Binafsi kwa kuwa wanakusanya...
Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda.
Hatimaye...
Je Sheria ya nchi inasemaje ? soma hapo chini 👇
ASalam Alaykum,
Hongera nyingi sana kwa ndugu yetu wa imani ya kiislamu kwa jihad kubwa aliejitolea wa ujasiri mkubwa kuongea hayo bila oga na...
Kila unachokiona duniani bila ya Muhammad Musa Alkhawarizim(algorithim),Computer science yote inategemea algorithm.Bado hatujamgosa Algebra na Avecina.Kila unachokiona duniani kilichotengenezwa na...
Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.