Tanesco tunaomba mtupe taarifa rasmi wakazi wa Kigamboni kuna shida gani mnakata umeme kila siku bila ratiba yoyote ili kufanya na sisi wananchi tujipange kuwa kuna mgao maana mnakata umeme saa 3...
Tasnia ya habari imevamiwa na magugu maji. MNA JUKUMU LA KUNG'OA MAGUGU
Na N'yadikwa - Milima ya Umalila
Hongereni kwa kuteuliwa.
Kwa kuzingatia changamoto za uandishi wa habari na utangazaji...
Hivi ni watu kukosa akili ama ni nini? Au watu wameshaona fursa kwenye haya makanisa?
Lakini hata kama umeamua kunyaka fursa uwe tajiri kama wachungaji na manabii wengine, ila ndio uje karibu...
Nina rafiki yangu leo kafikisha umri wa miaka 31.
Sasa amenicheki hapa kuwa nimtumie zawadi ya muamala kwajili ya birthday yake: je hili limekaaje wadau wa JF?
Mtu wa aina hii kijana mwenye...
Wahenga walisema "Usitukane mamba kabla hujauvuka mto" ishawahi kukutokea ukafikiri jambo ni rahisi ila ulivyolijaribu ukaona ugumu wake na ukahangaika nalo.
Hello, nina 30yrs (girl) naish kwetu(nawish kutoka), natafuta kazi sipati, nina kabiashara kadogo kutwa nikifungua asubuh nakutana na kinyesi nje ya frem so biashara yenyew haitoki, sina...
Na Mwandishi Wetu, London.
Askofu Lazarus Msimbe S.D.S wa Jimbo Katoliki Morogoro (pichani) amewataka Watanzania waishio nchini Uingereza (Diaspora) kutambua na kuendeleza mshikamano baina ya...
Wadau mimi ni rai wa tanzania. Naishi ktk mkoa mmoja miongoni mwa mikoa ya tanzania
Lengo la kuja katika jukwa hili nikutaka kuomba ushauri maana naamini humu kuna wadau wengi wenye dondo ktk...
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Masiku kadhaa ulipita mjadala juu ya mchakato wa ajira ndani ya JWTZ,mchakato ambao umeonekana kugubikwa sana na walakini kutokana na ulivyoendesha.
Tangazo la ajira lilitolewa,ila baada ya watu...
Moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee lengo lake ni kujifinza
Wadau hamjamboni nyote
?
Napenda kujua kama upo mwongozo wowote ule kiimani au kikanuni kwa mujibu wa Vitabu vitukufu kuhusu...
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala...
Ulimwengu (universe) una maajabu yake ila kwa Watanzania sidhani katika watu 100 unaweza kupata hata wawili wenye kujiuliza maswali na kuyatafakari kwa kina
Enyi ndugu zangu ambao mmetenga...
WASALAAM,
Napenda kumpongeza meneja wa NHC urafiki kilipokuwa kiwanda cha nguo zamani cha kanga.
anafanya kazi nzuri sana ya kurekebisha miundo mbinu na kukarabati majengo ya flats za urafiki...
Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata...
Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:
Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.