Swali fikirishi:Kwanini tigo tu baada ya kubadili jina TTCL bando zilishuka bei ghafla.
Siku ile ile tigo wamebadili jina na shareholder wakabadilika kwa baadhi, siku hiyo hiyo TTCL bando...
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...
1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa...
Naomba kujua hivi hawa mnaowaita sijui right handman / woman wa Marais duniani huwa wanakuwa 100% well Vetted na Idara za Usalama wa Taifa za nchi?
Nitashukuru sana nikijibiwa na hata Kuelemishwa...
Watu wana shida kibao zisizotatulika. Watu wana matatizo mengi yaliyo juu ya uwezo wao; wanalia maisha magumu lakini hawana mlango wa kutokea. Watu wanatafuta “solution” ya shida za kifamilia, za...
WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini...
Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa...
Wakuu,
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia...
Habari yenu ndugu na jamaa zangu !
Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu.
Kwanza nianze na historia...
Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa.
=====
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya...
Kwa sasa kumekuwa na msisitizo mkubwa mno makanisani watu kutoa pesa inayotajwa kama fungu la 10 (zaka) kiasi kwamba imegeuka kero kubwa kwenye jamii. Wanawake wamekuwa wahanga wa kuchotwa akili...
Rafiki yetu 2024 ndio anatuaga leo anakwenda zake,tulikuwa nae pamoja na changamoto za hapa pale lkn baadhi yetu hawakupata bahati ya kuwa hai mpaka leo na wengine masaa haya machache yaliyobakia...
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii...
Mbona maji umejua faida yake na ndo maana unayanywa Kwa bidii na chakula bora una jitahidi kuupatia mwili wako lakini kwanini nguzo moja ya afya bora unaipotezea?
Nayo ni kufanya mazoezi walau ya...
Inasikitisha sana kusikia kesi za watu wanaojiua, ama kwa kunywa sumu, kwa kujinyonga, kwa kujipiga risasi au kwa kujitupa chini kutoka ghorofani. Wanaofanya hivyo huwa wanafikiri kwamba wakijiua...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (kulia) akizindua rasmi Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (Journalists Accreditation Board-JAB)...
Soma vizuri hasa huko chini kuna ujumbe wako.
Mungu husimamia neno lake. Mungu ni mwaminifu, hadanganyi wala hadanganywi.
Ukiomba kwake usipopata basi usikae kimya ukaanza kusema Mungu hajibu...
Watanzania kati ya vitu tunavyo ni JWT ni jeshi limezingatia weledi, mbinu imara katika medani za kivita
Watanzania tuna Imani na jeshi JWTZ na tunaliamini sana
Wanasiasa mmeharibu kila kitu...
Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki.
Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora.
Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa...
Mwanaume kama unajitambua usioe.Kataa ndoa tunakusanua kimbia usioe.Ni mara elfu saba mara sabini uzalishe utunze ila kamwe usioeeeeeeee!!!!!
Usioe mwanamke aliyesoma,kimbia usioe utajuta.Wenzako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.