Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani...
Mwaka Jana niliweka mada hapa kwamba Zimesalia km 51 za vumbi Ili Barabara yote kutoka Dar Hadi Kigoma iwe Lami.
Hatimaye km za mwisho kutoka Ilunde-Malagarasi zimekamilika na Sasa Kigoma sio...
Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani,
Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki,
Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita...
Habarini wakuu
Natumai kwema.
Dah! Joto limezidi ni hatari.
Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua!
Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto.
Exception...
Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda.
Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu...
Angalizo tu
HABARINI za asubuhi kwa ujumla
Naamini wote mmeamka wazima WA afya
Najua hili n kwa wote WANAHITAJI wafanyakazi WA nyumbani
Lakini haswaa wale NDUGU ZANGU WA kawe mbezi beach makonde...
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Salum Kalli, amewataka wakazi wa mkoa wa Arusha kuchangamkia fursa ya kipekee ya kupata msaada wa kisheria kupitia Mama Samia Legal Aid Campaign inayoendelea jijini...
Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia...
Kila kituo cha Daladala Dar es salaam kuna kijiwe kikubwa cha bodaboda.
Na kituo kimoja kikubwa unaweza kupata vijiwe vya bodaboda vitatu mpaka vitano.
Kila kwenye shughuli za kijamii lazima...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa serikali ina mpango wa kuifanya Siku ya Wanaume Duniani, inayoadhimishwa kila tarehe 19...
Serikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry,
Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uhakika kabisa. Na watu Wengi...
"Kwanini hauvai suti, je unamiliki suti, wamarekani wengi wanakushangaa kwanini hujavaa suti kwamba hauheshimu ukuu wa ofisi ya White House"?
Brian Glenn mwandishi wa habari wa marekani...
Wakuu kwanza salamu sana. Nipo Dodoma Kwa wiki mbili sa hivi . Lakini Dodoma niliyomo umeme wa uhakika hakuna. Dodoma muda wowote umeme unakata.
Kutoka tarehe 24 hivi Kila ikifika saa sita saba...
Rais wa kwanza mwanamke Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah
Namibia imepata Rais wa kwanza mwanamke, hatua kubwa katika historia ya taifa hilo. Safari yake ya kuwa mwanamke wa kwanza katika mambo ya...
Wakuu
Bei ya Kioo cha SGR Usipime
==
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Venance Mapala kutoka Polisi Kikosi cha Reli Tanzania, akizungumza kuhusu changamoto na gharama kubwa za uharibifu wa...
Wakristo wenzangu naombeni majibu.
Fungu la kumi ni sheria ya Musa katika agano la kale.
kwenye agano la kale Hesabu 18:21 imeandika Fungu la kumi lilitolewa kwa kabila lililokosa ardhi linaitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.