Wasiojua kusoma na kuandika zaidi ya vijana 700 ikiwemo watu wenye umri zaidi ya Miaka 17 wakiwa 85 wasiojua kusoma na kuandika katika kijiji cha Ipazya wameandikishwa katika mfumo rasmi na mfumo...
Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu.
lakini katika...
HABARINI wapendwa
Tuna mzee wetu aliamua kuwa msimamizi WA MIRATHI ya kaka yake
Sasa KIKAO wakamua WAGAWANE mali zote sawa...
Kilichofwata mzee akaandika yule WA Nje amepewa mali zaidi ya wenzie...
Jopo la Wanasheria wa Serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Haki za Binadamu Bi. Beatrice Mpembo Februari 19, 2025 Jijini Mwanza wamefanikiwa kutatua...
Vikundi 60 vya wanawake vijana na wenye ulemavu katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza vinatarajia kunufaika na mkopo wa Shilingi bilioni 1.13.
Akizungumza kwenye hafla ya utoaji mikopo ya...
Kwanza kabisa sio kwamba napinga PPPs, bali kwenye huduma ambazo hazina alternative ni vema likafanywa na UMMA kwa gharama ambayo itakuwa ni affordable, ukizingatia ni huduma, unapomuongezea raia...
Dkt. Noe Nnko
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi na mashirika kuwa makini katika matumizi ya taarifa za watu, kwani mtu yeyote ambaye taarifa zake zitatumika bila idhini...
Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya...
Rafiki yangu mpendwa,
Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye maisha yake.
Ndiyo, nimesema kila mtu, hata wewe unayesoma hapa...
Kutokana na kitongoji cha Dombwela kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kukubaliana kujenga ofisi mpya za kitongoji hicho, wananchi wamekubaliana kubadilisha sheria kwa watakaokuwa hawafiki...
Mungu fundi sana I salute you ma God. Yaani ukianua mtu awe na bday Mwaka huu anapata aliamua mwakan hupati hupati.
Naulizia tu jamani Feb imeisha Jana vipi wale ndugu zetu wa Feb 29 waliozaliwa...
UTANGULIZI
Madai ya NETO kuhusu serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaajiri walimu wote wa 2015-2023, Kufuta usaili kwa kada ya elimu yanaonesha presha kubwa kutoka kwa wahitimu wa...
Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata...
Huu mwaka umekua wa hovyo mapema mnoo aisee,
Habari zenu kwanza wakuu
Mwenzenu jana nimetapeliwa, na nikiri tu kuwaambia uchawi upo wakuu, Ilikua jana kuna hela nilipatiwa nikamlipie dogo Ada...
Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila...
Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS) kimeripoti jumla ya wanasheria 65 kufariki kwa kipindi cha kuanzia Machi 2020 kutokana na janga la virusi vya Corona
Mratibu wa TLS mkoani Njombe, Innocent...
Moja kwa moja.
Nimeona nije na mada hii baada ya kuona huu uzi leo Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa! nikakuta za comments mbalimbali.
Nije...
𝗚𝗲𝗿𝗺𝗮𝗻𝘆 𝗶𝗺𝗲𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗴𝗮𝗻𝗱𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗺𝗶𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗸𝘄𝗮 𝗮𝗷𝗶𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗶𝗳𝘂𝗳𝘂𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝗶𝗷𝗮𝘆𝗼
Kuna siku niliwaambia kuhusu watu kutaka kugandisha miili ya watu iliyokufa na kutaka kuifufua miaka ijayo...
Ni muhimu kutambua kuwa sio kila mtu anayewashawishi watu kutoa sadaka ana nia njema. Biblia inasema nyakati za mwisho zitatokea roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani(1 Timotheo 4:1)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.