Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Gumzo HATIMAYE kampuni ya Dowans Holding SA imesajili mahakama kuu nchini tuzo yake ya Sh. 94 bilioni iliyodondoshewa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Kibiashara (ICC)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hbr wana JF.. Leo Bungeni kat ya mambo yaliyonivutia, pamoja na majibu mepesi mepesi ya mawaziri, ni hili la Naibu Waziri wa Uchukuzi kusema kampuni ya TRL inahtaji zaidi ya bilioni 500 ili iweze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikia kwenye magazeti ya leo asubuhi kuwa Shekh maarufu na mwanasiasa, kada wa CCM Mtopea alifariki juzi na kuzikwa jana huko Temeke. Shekh Mtopea namkumbuka sana katika mambo mengi ila...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kuna malalamiko mengi kuwa watoto wanatendewa vitendo visivyo vizuri ndani ya school buses . Nasikia kuna kesi tele zinalipotiwa na huwa zinamalizwa juu kwa juu, juu ya ukatili wanaofanyiwa...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
JAMANI ANGALIA HII NI KIDUCHU TU KUHUSU KITCHEN PART ZA BONGO MKE ANAFUNDISHWA JINSI YA KUSEX
1 Reactions
4 Replies
41K Views
Baada ya kukawia kufika chuoni leo kama alivyo ahidi angfika saa 5,amefika saa sita na saa saba akaelekea viwanja vya chuo kikuu kutimiza ahadi ya kuja kuwasikiliza wanafunzi,waziri leo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nilipata fursa ya kutembea bandari moja katika nchi fulaani..nikakuta kazi wanazofanya ni kupakia mizigo kwenda nchi nyingine kutoka kwenye viwanda vyao..pia nikatembelea bandari ya dsm yenyewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kaka yangu ana mtoto ambaye inatakiwa aanze form one mwaka huu, tatizo ni mwizi alikuwa anakaa kwa dada yetu mkubwa akawa anaiba hela kwake wakati yuko darasa la 6 mpaka 7, anaiba ananunua sim...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Jamani mi napatwa na mashaka na kadri siku zinavyoenda ndio mashaka yanazidi kuhusu mambo ya PM. research ndogo niliyofanya nimegundua kuwa watu tunaogopa kutumiana PM kwa hofu ya 1 kutojibiwa...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Waziri membe tunaomba ufuatilie zoezi la utoaji viza za uk leo kati ya watz 50 walioomba viza ni wa3 tu ndio wamepata . Mimi ni mfanyabiashara kwa kawaida huwa wanapiga simu benki na kule...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi majuzi Mamlaka ya mawasiliano ilitangaza kuwa chukulia hatua kali za kisheria wafanya kazi wa makampuni ya simu ambao hutoa siri za wateja. Nasema hiyo haitoshi bali iongeze kuwachukulia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eti inasemekana mtoto wakati wa kukatwa kitovu kikiangukia katikati ya mapaja basi kama ni mvulana akikuwa atakuwa shosti, na msichana atakosa uzazi?
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kaka mmoja mwenye asili ya Somalia, raia wa Kenya anayesoma nchini Malaysia, wiki iliyopita alijikuta akizua zogo kwenye ofisi ya uhamiaji. Tukio hiko lilitokea mida ya asubuhi baada ya kaka huyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hbr wana JF.. Kwa kuwa hli ni jukwaa la kijamii, hvyo nadhani si vibaya kujadili swala lolote lihusiyo jamii yetu.. Leo ktk kipnd cha X X L mtangazaji binti anayejiita Dj. Fatuma au Fety...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Watu wapatao 106 (wasichana wawili tu) wanaoonekana kuwa ni raia wa Somalia wamekamatwa katika ufukwe wa bahari ya Hindi karibu na kisiwa cha Jibondo wilaya ya Mafia. Watu hao inasadikika walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Spika wa Bunge Mh. Anna Makinda Na Mwandishi Wetu Spika wa Bunge, Anna Makinda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uratibu, Sera na Bunge, William Lukuvi wamewaonya wabunge kuhusu mavazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Boniface Meena, Mwananchi Jumapili UTAFITI uliofanywa katika hifadhi ya msitu wa Udzungwa, umeonyesha kuwa msitu huo, unapaswa kuokolewa kwa kuwa uko hatarini kutoweka kama hatua za haraka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tahadhari tena, NSSF kwa nini wasijenge nyumba tukaishi watz badala ya kufua umeme ambao wataingizwa mkenge na hatimaye ufisadi mwingine utakuja hili la NSSF mimi siliafiki kabisa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Great thinkers, kuna yeyote yule aliyepata taarifa ya kikao cha Waziri wa Elimu na Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam? Kuna lolote jipya lilofikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wakati wa maadhimisho ya miaka 34 ya ccm ktk hotuba yake nilimsikia JK akisema eti kwamba watu wanayesema anahusika na Dowans akutukanae hakuchaguli tusi,eti kwake kuambiwa anahusika na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom