Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari ya wakati huu msikilizaji wangu! Karibu katika kipindi cjetu cha usikivu wa mwanasiasa! Hebu tuiangazie report hii ya EU! Ni mimi Producer karibuni! DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naishangaa sana hii nchi yangu iliyobarikiwa kwa mali nyingi sana za asili, lakini badala ya hizo mali za asili kuwa ni furaha na utajiri kwa wananchi wanaozizunguka, zimegeuka kero kubwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo aliyekuwa waziri mkuu bwana Edward Lowasa anatiza miaka mitatu tangu aachie ngazi/ajiuzulu uwaziri mkuu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa wanajf,kwa habari zilizonifikia punde ni kuwa wana-udsm wamekusanyika uwanjani wakimsubiria waziri kawambwa kwa ajili ya kusikiliza madai na kero zao,duh...ana uwezo kweli na kwanini ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mgomo unaendelea chuo cha mwenge moshi sasa hivi wanafunzi wako mbele ya jengo la utawala chuoni hapo na wengine geti wakizuia askari wa kutuliza fujo wasiingie kwenye maeneo ya chuo hicho
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nawauliza wanaJF
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Ni wazi kabisa hakuna asiyejua habari za Dowans, na pia hatuwajui vizuri dowans ni akina nani hasa, lakin wakitangaza kazi yenye mshahara mzuri MI NA-APPLY BWANA . . . .
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu wanaohishi kwenye chumba za kupanga hawanabudi kuanzusha chama ambacho wanaweza kukitumia kupasa sauti zao hususani za kupambana na wenyenyumba wanapelekesha kila kukicha: Yaani wenye Nyumba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza nimejaribu kuchunguza avatar za akina dada wetu humu JF nyingi zina sura za mastar hasa wa kike au picha zinazoonyesha wazi sehemu za maungo ya siri, mfano (not offensive)...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Professor Michael Sandel presents a lecture from his Harvard course in Political Philosophy. He explores the morality of murder and asks if there can ever be a case for killing. what...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Ni swali ambalo huwa najiuliza ni nani anayewajibika kukataza au kuruhusu mifugo kwenye Makazi ya watu, nikiwa mkazi wa eneo ambalo limetengwa na Serikali kwa ajili ya makazi ya watu, kumekuwepo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hili si onyo la kwanza ila msisitizo. (1) Ni marufuku kugeuza au kupotosha mtiririko wa thread na kugeuza kuwa chumba cha kusalimiana au kupiga soga(chat room) sisizohusiana na hoja ya thread...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wamachinga kuondolewa machinga Complex na Nasra Abdallah HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imetoa mwezi mmoja kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nafuatilia siasa za Tanzania, itimisho nililofikia ni kuwa Mh. Kikwete anaofu ya waziwazi na Dr.slaa....ninachojiuliza ni kwanini ilihali yeye ndo mkuu wa hii...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
JF members! Naomba kujua hizi tume 1-nini kazi zake? 2-zinafanya kazi kwa ajili ya akina nani? 3-wanaoshughulika wanalipwa? 4-ripoti yao anakabidhiwa nani? 5-ili zifanyiwe kazi...mbona...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
1. Teen Age: have time & energy but NO MONEY. Working age: have money & energy but NO TIME3. Old age: have time & money BUT NO ENERGY!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kama vipi tuliangalie hili hapa wanafunzi wa vyuo wana lalamika kuwa 5000 kwa siku wanayopewa na heslb ni kidogo wewe unatazama vipi hii na maisha yalivyo hivi sasa bongo? Je inatosha?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
I'm wishing u all the best n success in ur national examinations (NECTA). God bless You my young broz & sisters.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kati ya Kikwete na Hosea ni yupi anayetuchezea akili? Hosea anaona rais hataki mafisadi papa waguswe. Kikwete anaonyesha hapewi taarifa za wanaohujumu uchumi hata pale anapokuwa na mashaka(mfano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada wenu: Ni week moja sasa imepita, ninashindwa kufungua account yangu ya yahoo.. Nasumbuka kweli,maana ni account pekee yenye details za mhimu sana kwangu.. Nifanyaje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom