Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kitendo cha Mabere Marando kuwa wakili wa Manji katika ile kesi ya Fisadi nyanguni na Fisadi papa, ni wrongo move kwake na kwa CHADEMA, kwani Mengi na vyombo vyake vya habari vitasusia/ au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninapoangalia picha hizo, ninajiuliza kama kweli askari polisi wa Tanzania wanaijua profession ya upolisi sawasawa. Naona kama wengi wanajua kuwa jukumu la upolisi ni kutumia mabavu mahali popote.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Leo, wapo wanazuoni wengi wa kisasa katika ukristo wanaochukulia kuwa Yesu Kristo hakuwa Mungu. Katika mwaka 1977, kikundi cha wanazuoni saba wa biblia, wakiwemo wanateolojia mashuhuri wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kauli ya wapenzi na wakereketwa wa CDM kuwa Wao tu ndio wapinzani hai TZ, haiwezi kuwa halali ikiwa watashindwa kumuenzi mwananchi huyu kwa kuonyesha nguvu yao ya umma!: Ajimwagia petroli na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hindu Author :A MUST READ ARTICLE FOR EVERY HUMAN BEING IN THE WORLD AS RECEIVED. EVERY HUMAN BEING MUST READ THIS ARTICLE.... SWAMINOMICS :Terrorism is certainly not a Muslim monopoly...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nipo ndani ya kipanya ninapoandika hii post jirani yangu kuna mama na mtt mdogo kama 3yrs mama anandizi kamenya anakula kinachoniuma moyoni sio njaa bali kitendo chake cha kunichafua chafua...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
1.Jaman msaada wenu Rais wetu wakati anaingia madarakani aliahidi kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya kwenye nini? A. UFISADI? B. UFKUSA? C. MAENDELEO? ( )...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naombeni namba za Safari FM Mtwara wanamtwara nisaidieni ni PM au uniandikie kwenye radioproducer@rediff.com, jitahidi ziwe za mkurugenzi au mtu mwema kuna wengine wazushaji tu!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Thursday, February 03, 2011 Wana jamvi napenda kutumia muda huu kuelezea masikitiko yangu kuhusiana na suala la tatizo la sauti ambalo sasa linaelekea kuota mizizi na kua kero kwa watazamaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekaa nakutafakari sana juu ya mustakabadhi wa taifa hili namimi nimeona J. Kikwete atalitumbukiza taifa hili ktk migogoro na maandamano yasio kuwa namsingi. Maandamano mengi ktk vyuo apo awali...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Sina imani sana na Mabere Marando.. Naona kama yupo kifedha zaidi.. CDM yetu kupitia Dr. Slaa ndo iliibua hoja ya ufisadi wa BOT kupitia EPA na kumtaja Manji km muhusika kupitia KAGODA.. Sasa leo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Iwe ni wastaafu wa EA, wapinzani, wanafunzi wa vyuo vikuuu nk. wakipanga kuandama basi mwisho ni kupigwa mabomu, kuuawa au kuzuiwa dakika za mwisho mwisho wasiandamane bila sababu za msingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani leo nimepata dawa ya stress nimerudi om baada ya karaha kbao nimewasha tv ktk kusearch nikapata chanel 1 ya chines comedy jamani ucnipimie m2 wangu nikichina k2pu anaechekesha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nilisoma Ukraine miaka ya tisini, Nilikuwa mpenzi sana wa Russian music, nyimbo kama fotografia na zingine nyingi zilizowika wakati huo nilikuja nazo bongo. Naomba kwa wale ambao bado mpo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ushauri wenu wadau, mi nafanya kazi serikalini nalipwa hako kamshahara cha 217000/- Je nikiacha kazi nifanye kazi zangu binafsi, maana naona haka kamsharahara kadogo naona kama vile napoteza mda...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Aisee wanajf,nimegundua kwamba kumbe division 4 ni kufaulu jamani,vp mtu kama huyu atasoma shule ipi?au chuo ataenda kipi?jamani jamani tunaenda kubaya ., source:itv-kipindi cha kipima joto
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi waharibu magari Dar WANANCHI wenye hasira kali jana walizingira Barabara ya Sam Nujoma eneo la Mwenge Vinyago kisha kuanza kuvunja vioo vya magari na kusababisha uharibifu wa mali za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mmmh,nimeamini they wil chain our bodies bt the wont chain our brains,hii imejidhihirisha muda mfupi uliopita pale mabibo hostel,kwani fikra haina za wanagreat thinkerz wenzetu wameanzisha tena...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Geat Thinkers, Kwa mfanyakazi Bachelor, apatae Take home ya kati ya 850,000 mpaka 1,100,000/= Unashauri aishi maisha ya aina gani ili aweza kuishi vizuri, na ku-save, ikiwezekana kufanya...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wana jf mi sielewi kwa nini gazeti la mwanahalisi hawataki kuapdate kila mara hawajui kwamba tulio nje tunalitegemea sana kwa kupata taarifa muhimu.Gazeti la Raia mwema wao huwa hawachelewi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom