Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari zenu wanajamvi, Ninaomba mtu yeyote mwenye kulifahamu kanisa linaloitwa Mlima wa Matumaini linaloongozwa na Apostle Lutumba kutoka Congo na mkewe kutoka Zambia. Kanisa hili linasemekana...
0 Reactions
53 Replies
13K Views
Baada ya kuwa bongo na kukuta shida ya umeme nimeamua kurudi ughaibuni,nimefika jana tu kunamshakaji wangu mbongo ni prof.kumbe safari yote hiyo alikuwa akinisubiri nikirudi tu kwa mapumziko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanafunzi wamvaa DC kupinga mwenzao kupigwa na mwalimu Wanafunzi wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari ya Siha, Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, wameandamana hadi kwa Mkuu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna dili la uhakika nililodekezewa na marafiki zangu wa maana na wenye wadhifa kuwa serikali ya South sudan inatafuta watanzania educated waende wakashike wadhifa mkubwa kwenye sekta mbali mbali...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello again wana Jf, nataka kununu kiplot maeneo ya mbweni chenye view ya bahari kwa umbali(likini siyo lazima) kiwe na ukubwa wa sqm 1500 to 1900 uwezo wangu ni mili 25 tu. wenye kujua pls. hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshma kwenu wachangiaji. Wanajamii uarabuni kwa bahati ya miundombinu mizuri ya mawasiliano wameshirikishana nia zao na kusema sasa basi. Hatimaye uma utashinda. Swali labaki. Je? watawala hawa...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
  • Closed
Jana nilibahatika kusikiliza majadiliano ambayo kupitia radio imani kulikuwa na majadiliano ambayo ni muendelezo wa tamko la waislamu walilolitoa katika ukumbi wa karimjee.Kilichonivutia...
0 Reactions
716 Replies
56K Views
Wanangu kisu kimefika kwenye mfupa huku USWAZI Mwisho wa mwezi umepita na sasa kukopa tena Gengeni dukani kumeanza. Muarubaini ulio jirani umechunwa ngozi kutibu magonjwa arubaini na miti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wanopenda kuangalia TV za kenya live kwenye net bila kudownload chochote na ni free nenda google andika WATCH KENYAN TV LIVE utaona channel kama 6.Kati ya hizo ipo KBC,KTN,CITIZEN,NTV,K24 na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanini kusiwe na kongamano la pamoja la watu wote ambao wamemaliza vyuo vikuu na vyuo vingine mbalimbali na hawajafanikiwa kupata kazi/ajira yoyote ile ili waweze kujuana na kupeana changamoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi nawasalimia kwanza habari zenyu bwana,Mkasa ulionikuta jumatatu iliyopita nilijimvuzisha katika mji mkuu wanchi Idodomya nikafikia Hotel moja inaitwa Marryland ipo njia yakwenda Arusha...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Look at this to get to know what is real happening in you!! http://www.2011tappingworldsummit.com/VideoSeries/?p=8 By; Bruce Lipton (PhD)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari dhenu waungwana,ni hivi ikiwa wewe unamtembelea yeyote yule awe rafiki/ndugu nyumbani kwake lkn unategemea kulala ktk nyumba hiyo je?ni kitu gani cha KWANZA unatakiwa ukijue. 1.jiko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu jana nilibahatika kufika maeneo ya Tegeta na kwa kuwa niliambiwa kuwa mida ya jioni saa 12 hadi saa 2 usiku kuna foleni kubwa Tegeta Kituoni niakaamua kupitia barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HIRBET MADRAS, Israel Israeli archaeologists presented a newly uncovered 1,500-year-old church in the Judean hills on Wednesday, including an unusually well-preserved mosaic floor with images...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I salute u all, the jf memberz, in the name of peace and love.. Am a youth aged 27yrz. Nina wazo la kuusaidia mkoa wangu kwa kuinua kiwango cha elimu, hasa ya teknolojia ya kisasa ya kompyuta...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba niulize, kwa mtu aliyemaliza udaktari anaanza na professional yake eg Dkt. Mwijage, uinginia anaitwa Eng. Stella, ualimu anaitwa Mwl. Nyerere, JE professional ya uasibu na ugavi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zanguni wanajamvi, nilipotea kwa kipindi kirefu kidogo kutokana na majukumu yaliyokuwa nje ya uwezo wangu. Pamoja na ukweli kwamba bado sijayamaliza, nimekuwa nakosa mambo mengi sana mliyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WADAU INAVYOONEKA MKUU HANA SAUTI KABISA KUHUSU MALALAMIKO YA WTZ KUHUSU HII KAMPUNI HARAMU YA DOWANS Imekaaje hii jamani? Nawasilisha.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom