Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tunayemsikiliza sasa ni mtu ambaye ninamuheshimu mno mno. Huyu ni mkurugenzi na mwanzilishi wa chuo cha mguu peku, Barefoot College, ndugu Bunker Roy. Msikilize: - nilipomaliza shule...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali kuchelewesha mishahara ya watumishi wake mwezi huu Tatizo liko wapi? Mbona wahusika wamekuwa bubu? Enway, tunafahamu kuwa wao hawaishi kwa kutegemea mshahara katika nchi hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
maelezo zaidi na source gonga link hizo ujionee mwenyewe kweli nimeingiwa na huruma sana nimeiona kweli imenigusa sana JIACHIE YouTube - Mtot Cecilia Edward anaomba msaada wenu wa hali na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
People have a tendency to look at the things that they want and say, “Yes, I like that, I want that.” However, they look at the things that they don’t want and they give them just as much energy...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu wanajf ,hoping kuwa mpo pouwah na harakati za kuleta mabadiliko ya nchi yetu,kweli nieamini huyu bwana mkubwa makamba atakuwa hana akili sawa sawa namnukut alichosema jana ktk...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jumatano tarehe 19/1/2011 MAKAMBA aliingia ofisini yapata saa nne kasaro asubuhi.Fatuma Wenseslaus karani alikuwa bize akituma ujumbe kwenye komputa.Babu makamba kuchungulia akaona ilikuwa ni...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Naombeni mnisaidie katika hili: Nina mpenzi wangu anasoma pale UDOM na tumepanga kuoana japo kuna mambo yananikwaza.Tulianza mapenzi siku nyingi kidogo na baadaye yeye kaenda kusoma.Alipofika tu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF nina fanyakazi ya consultants ya kuborehsa na kuinua kipato cha Radio na Tv kwa kudesgin vipindi vipya vyenye wapenzi wengi na vinavyolipa sana! Je, kuna ndugu yako au wewe mwenyewe una...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MUME wa Grace amemtaka mke wake huyo ifikapo mwishoni mwa mwaka huu kama hajafanikiwa kushika mimba basi atalazimika aione nyumba chungu kwa kuwa hataweza kuvumilia kuendelea kuishi nae kama mke...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
As most university leavers face a struggle to secure a career break, technology graduates are being offered the latest Apple products as an incentive to apply for jobs. Autonomy, one of Britain’s...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This is very strange but true on how we make our choice to live. All men and women are born to live, suffer and die; what distinguishes us one from another is our dreams, whether they be dreams...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Govt moves to refund police officers Saturday, 29 January 2011 09:16 The Citizen Home Affairs minister Shamsi Vuai Nahodha By Midraji Ibrahim THE CITIZEN Dar es Salaam. The Home Affairs...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hii inanishangaza kidogo hivi ni kweli gari moja la kuzolea takataka laweza kugharimu milioni 115? JFW moja! Nimeona leo kwenye taarifa ya habari ya channel 10. Labda haya ni aina mpya eti!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
baada ya kukerwa kwa kiwango kikubwa na haya maigizo ya bongo(what so called movie) at last nimeona igizo moja ambalo kidogo lina mabadiliko, so interested to watch,japo kuwa still kuna part one...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJf kwa waliobahatika kuangalia hotuba ya Mubarak live saa sita usiku jamaa hataki kuondoka hadi september na akadai hatagombea tena na akalaani maandamano na kukumbushia kuwa kawafanyia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A resourceful Chinese company got in trouble for brewing soy sauce out of human hair. China Central Television (CCTV), the state television station, first raised public worries over the quality...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najua siko peke yangu wengi wetu kwa njia moja au nyingine tulishiriki kufisadi au bado mnaendelea kufisadi TZ. Naomba msamaha wenu sirudii tena.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jordan Government resigned amid of protest. Source: ALJAZEERA LIVE. Peoples power.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kamati ya uvccm imetoa tamko kushinikiza serikali kuivunja bodi ya mikopo!wata andaa maandamano nchi nzima!wakati huo huo mawaziri wa mikopo wa vyuo mbalimbali wamesema wana siasa wasichukulie...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa ujenzi, Dr John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kuwaweka kitimoto baadhi ya watendaji wake walioidhinisha nyumba 59 zilipiwe fidia ili kupisha upanuzi wa barabara mbalimbali za katikati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom