Waalimu ambao wameajiriwa hivi karibuni katika jiji la Arusha wameandamana huku wakiwa na sarafu mikononi wakidai hela za kujikimu ambazo wanasema zimechakachuliwa ili kulipa DOWANS. Sasa ivi wako...
Wakuu nakumbuka nilishawahi kuona hii fomula humu jamvini lakini ilikuwa zamani sana naomba kama kuna mtu ambaye anayo anitumie hiyo fomula ya TRA matapeli.
Asanteni.
Nilimkuta akiwa kwenye maximum security huku akimwandaa Paul the Octopus kama inavyojionyesha pichani. Wafungwa wenzake walidai anakunywa sana supu ya huyo mnyama na amegoma kula aina nyingine ya...
Madiwani Moshi waishika pabaya CCM
Na Heckton Chuwa, Moshi
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro jana waliweka pingamizi kwa Msajili wa Mahakama ya Ardhi kuzuia...
The director of a psychiatric hospital in Cuba where 26 patients died from hypothermia last year has been sentenced to 15 years in prison.
Twelve other staff at the hospital in the...
Kuna mjadala unaendelea Re: Maiti za vitoto zaidi ya 10 zafukuliwa shimo moja
Vincent Augustino mwanzisha thread kauliza:
Kama hizo ni mimba zimetolewa ndani ya siku moja; jee wiki, mwezi...
Taarifa ya habari ya luninga ya citizen imetoa mkasa huo kwenye taarifa ya habari ya saa moja jioni.
Kisa kilikuwa hivi ,kuna mwenye club moja alitangaza shindano hilo na kwamba zawadi kwa...
nimepigiwa na rafiki yangu simu akihitaji msaada wa kuregister campany bongo..anaweza kufanya namna gani..akiwa ughaibuni.ukweli mie sijui hata moja...
nilikuwa safari mara nimerudi ghafla nimekuta kila kitu vulumai...Nchi kama haina serikali..kila mtu ni serikali..hari ngumu mzunguko wa pesa hakuna,mfumuko wa bei pia ..biashara holaaa..Maisha ya...
Wakati maandamano na vurugu za MAFARAO kutaka Rais Mubarak wa misri ajiuzulu,jioni hii kwa mara ya kwanza tangu awe raisi ameteua makamu wa rais ,Omar Suleiman na kumwapisha na kuanza kazi mara...
Wakuu kuna mtu anahitaji kuandakia report kuhusu Tanzania na akaniomba nimpe mwongozo ni wapi anaweza kupata online materials katika lugha ya kiingereza yanayozungumzia Siasa ya Tanzania na...
Tauni bwana ukipaingia kifala napo panazingua!
..ujue washkaji kibao walioshasikiliza stori za kijiweni wakaja laivu bila kufanya risecvhi, ..ndio hawa wengine wameishia kuwa wezi, wengine...
Wana Jamii nawasalimu kwa salamu za upendo mkuu. Naomba mwenye profile ya magari aina ya Subaru Forester anipatie tafadhali, ubora wake na upatikanaji wa spair parts zake.
Mdau mmoja toka chuo kikuu nilimhoji kuhusu migogoro ya mikopo
Kumbe loan board fedha wanazituma vyuoni alafu vyuo ndo vinapeleka kwenye account za wanafunzi.
Kinachotokea watu wanazipiga izo...
Wizi mkubwa Tanesco
Sunday, 30 January 2011 21:26
MHASIBU MBARONI KWA KUKWAPUA SH 1.3 BILIONI
James Magai na Emmanuel Herman
OFISA wa Shirika la Umeme...
Taarifa nilizozipata mda si mrefu kuna Watanzania wawili wamekwamatwa na madawa ya kulevya wakiingiza Korea ya Kusini ya kitokea Tanzania kwa Air Emirates katika uwanja wa Incheon Internatal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.