WanaJF,Ndugu,nauli ya daladala inapanda,gesi imepanda,umeme umepanda, bei ya sabuni, bei ya mafuta ya taa juu,bei ya sukari imepanda mpaka kilo sh.1900 pengne 2000. Kwa mishahara ya laki tutaenda...
heu tujikubushe hizi movies enzi zile
Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema
Kila nikikumbuka hizi picha huwa zinanikumbusha mambo mengi and i also get emotional
andhaa...
Napenda kuchukuwa nafasi hii wana Jf wenzangu kuupongeza uongozi mzima wa Jf kwa mabadiliko waliyoyaleta juu ya mwonekano mzima wa PAGE ya JF baada ya kuifunguwa,kwani kwa sasa imekuwa ni rahisi...
Serikali yaahidi kurejesha posho walizokatwa polisi
Saturday, 29 January 2011 08:11
Midraji Ibrahim
SERIKALI imekiri kukatwa kwa posho za upelelezi na...
wakati layout ya JF inabadilishwa nilionyesha waziwazi kutokubaliana na layout mpya waliyoiweka,lakini watu wakasema oooh unajua hii ni mpya ohh utaizoea tuu oooh unajua mambo meengi tuuu lakini...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani, Joyce Ndalichako, alisema shule kumi bora zilizokuwa na watahiniwa kuanzia 40 na zaidi,ni
1. Uru Seminari (Kilimanjaro),
2. Marian Wasichana (Pwani),
3. St...
Nimekuwa nikiishi na kufanya kazi visiwani zanziba kwa muda wa mwaka mmoja, nimelazimika kutoa malalamiko yangu kupitia JF kwa sababu naamini watu wengi wanaingia humu ikiwemo viongozi wakuu...
Na Mwandishi wetu,Bukoba
Mchakato wa kazi ya sense ya watu na makazi nchini umeanza rasmi katika ngazi ya mkoa wa Kagera ambapo wananchi wanaombwa kushiriki kikamilifu katika hatua zote za...
WanaJF,
Kuna taarifa za uhakika kabisa kuwa polisi wamekatwa 100,000/= kila mmoja kutoka kwenye mishahara yao ya mwezi huu ili serikali iweze kuilipa Dowans mabilioni ya shilingi.
Ni jambo la...
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari...
jamani nataka kununua king'amuzi cha star time,so kabla sijafanya maamuz ya kununua nikaona si mbaya kuwakilisha hapa ili kama kuna yeyote mwenye kujua historia ya hii kitu anijuze mazuri yake na...
za jioni wana jamii,naomba kuuliza ,hapa tanzania kuna chuo gani kinatoa certificate ya telecomunication,nimejaribu university coet<coleji ya technology sioni naomba msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.