Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari JF! Naomba nisaidiwe kujua hil: Hivi Rais wa Nchi anaongoza nani? Maana kuna.... -Wajinga -Wasomi -Watoto -Wazee -Vijana ............... ............... Nawasilisha!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajf jamaani natumaini kuwa mu wazima wa afya na mwaendelea poa na kazi za kutafuta na kuleta maendeleo ya hapa tz,sasa nimekuwa nawaza muda mwingi kuna gani na utofauti gani kati ya madokta...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MOTO unazidi kuwaka Cairo, unasambaa pia. Tumeona picha za askari wale vijana wakitabasamu na kupeana mikono na wananchi. Ni ukweli, wengi wa wanajeshi hao wamekuwa recruited ( kuingizwa jeshini)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa napenda sana kutazama TV zetu hizi za hapa nchini .ITV,EATV mTBC lakini sasa naona zinazidisha matatizo kichwani. SHida na matatizo yaliyo nchini unahisi ukiangalia Tv labda yatatulia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Matokeo ya kidato cha nne kwa shule za kata yanasikitisha,serikali na waziri wa sekta husika amepata changamoto?
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Kesho kutakuwa na kongamano kubwa hapa Tabora la kutafakari kauli za maaskofu na siasa ya tz kwa ujumla. Viongozi wa dini na wageni mbali* watakuwepo. Pia kongamano litakuwa LIVE KUPITIA RADIO...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zeni wana jamvi JF!. Nawapeni hongera zangu kaw kazi zenu na michango yenu zaidi ya mali. Natarajia masiku yajayo nifike Bongo. Hivi nikiwa napitia habari magazeti gani...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Jamani wale wajuzi wa mambo ya Tanzania naomba nieleweshwe tofauti kati ya kilimo kwanza na Southern Agriculture Growth Corridor of Tanzania. Nini madhumuni, walengwa na malengo ya kila moja wapo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, leo katika Kata ya Kiwalani kua sherehe ya kuwashukuru wana CCM kata ya Kiwalani kwa kufanikisha na kushinda kwa Uchaguzi Mkuu uliopita ambao ulimfanya Makongoro kuwa Mbunge...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanakijiji wa vijiji 4 katika Bonde la Kiru wamechoma moto viwanda vi2 vya sukari,mashamba na Matrekta 20 mali wawekezaji fake wa Kihindi... My take; Wananchi wamechoka jamani,wananyanyasika...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, amesema Serikali ya Awamu ya Nne imeboresha kwa kiwango kikubwa maslahi ya watumishi wa umma, lakini ndicho kipindi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajf wenzangu huwaga nakaa na kuwaza hv huyu ndugu kikwete anajua au ?eti nchi kuna shida nyingi eti kikwete anajua?eti jamani matokeo ya skuli za kata mabaya eti anajua ?eti jamani dr. kikwete...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Du!!!!!!!!! Uandishi gani huu yaani hizi L na R zinaleta shida mpaka Tasnia ya habari inapoteza umakini kiasi hiki????- ina maana huko Mwananchi hata proof readers hamna? Mkataba wa Lights...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maxence Mello na team yako nawapeni pongezi kwa kazi nzuri ya kuboresha JF.Mmefanya mageuzi mazuri na kuongeza uwanja mpana wa jarida ili sisi wadau wa mtandao tujinafasi kwa raha zetu.Pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://www.veetle.com/index.php/channel/view#4d3dfd1fec92b
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakaazi wa mji wa Arusha leo walikuwa na wakati mgumu baada ya huduma ya usafiri kuwa ni ya taabu,baada ya gari lililobeba gesi kuziba njia nje kidogo ya mji wa Arusha eneo la shangarai nje...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
We know that the year 2011 is the 7000th year from the flood. We also know that God will destroy this world in that year. But when in 2011 will this occur? The answer is amazing. Let's take...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu sasa wadau na wanazuoni mbalimbali wamekua wakipinga mpango uliozaa shule za kata.serikali kwa upande wake imekuwa ikisifia mpango huu lakini imeumbuka baada ya matokeo ya kidato...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa muda mrefu nimefuatilia maswala mbalimbli kama mtanganyika kama serikali invyo baka mishahara ya wafanyakazi, ilivyo lazimisha kuingia kwa net group, rcmond kisha do once, jinsi ilpoamua kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamisi Said (49) amekutwa amekufa katika choo cha msikiti wa Idrisa, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Ilala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom