jAMAN NILIKUWA NATAKA KULIPIA BIDHAA NJE KWA KUTUMIA VISA YA KCB TANZANIA BRANCH SASA KILA WAKATI INAGOMA INAANDIKA CREDIT CARD COULD NOT BE VERIFIED TRY TO CORRECT INFORMATION OR TRY ANOTHER...
Mzungu mmoja ambaye sikuweza kufahamu jina lake aliamua kuvua nguo zake zote akiacha ya ndani tu baada ya wakaguzi wa uwanja wa ndege Dar kuwa na wasiwasi nae.
Katika tukio hilo la aina yake...
Katika mambo mengi yanayozuia wachumba au marafiki wengi kutofikia adhma ya kufunga ndoa mojawapo ni DINI. Kuna wakati wapendanao wenyewe wanafikia kikomo kwa sababu ya dini au wakati mwingine wao...
mwandosya ni waziri wa maji, yeye na mkurugenzi wake wako ofisi moja wakitofautiana majukumu tu. huko same wameongozana halafu mkurugenzi anajifanya kumwambia waziri wake juu ya hazina ya maji...
Mwanangu! Kwa sasa ni dhiki lakini ukistaafu kazi ni ziki KUU
Kuna marafiki watatu watakuwa na wewe sambamba ukishastaafu hilo utake usitake wanakusubiri!
1Kama uliwekeza kwa watoto wako nao...
Moto wa mgomo uliowashwa jumatatu na wanachuo wa mwaka wa kwanza wakilalamikia ukiritimba unaofanywa na uongozi wa serikali ya wanachuo katika kufuatilia mikopo yao bodi bado haujazimika japo...
Tanzania ni moja, mambo lukuki. Hili la Katiba mpya, Dowans ya Rostam, Kiwira, Kagoda, Urais 2015 ni kweli vimefunika hoja ya zile pesa za walala hoi ambazo Pinda alizichukua na kuzifungia...
Miafrika ndo tulivyo?
Man kills,buries cousin in bedroomThursday, 27th January, 2011E-mail article Print article Forensics experts collect the remains of Nkundindiza in Nabweru
By Steven...
Ni juzi tu huyu Fungamtama alijitokeza na akaanza kumbeza waziri samweli sitta kwa kupinga fidia ya dowans, leo kumbe huyu huyu nyoka ndo anawasilisha maombi ili dowans ilipwe.....hapa kuna namna...
Mimi niseme sijui ni mshamba ama macho yangu yameona vibayaa.Jamani pesa mpya sijui wanajamii forum mnazionajee?pesa ni nyepesi sidhani kama zitamudu life la bongo,ndo maana nikasema mi sijui ni...
NAJARIBU KUFIKIRIA HIVI VYEO UCHUNGAJI VINATOLEWAJE JAMANI..NIMEJARIBU KUFIKIRIA NA HUYU BWANA ANAEMWAGIKA KILA WAKATI WA UCHAGUZI BAADA YA UCHAGUZI UMSIKII TENA ..MWISHO TUKAAMBIWA ALIKUWA...
Hapa chini ni Barua aliyoiandika mwanasayansi Albert Einstein kwenda kwa US President Franklin D.R. kama utakuwa mwelewa wa history utagundua mwana-science huyu alisaidia sana kuiweka US mbele kwa...
Kama wiki hivi imepita niliona kwenye vyombo vya habari,Shirika la Nyumba linampango wake wa kubomoa nyumba za historia za Upanga na Kariakoo ili kujenga maghorofa kwa ajili ya kutoa tatizo la...
Yule denti 'KIGAGULA' asimamishwa Shule!
Uongozi wa Shule ya Msingi Liwiti, Tabata, jijini Dar es Salaam umemsimamisha masomo denti wa kike Rehema Maneno, wa darasa la tano anayedaiwa kuwaroga...
We have some exciting news to share about eHow.com. Beginning in February 2011, Facebook Login will be the exclusive means for login to the site. You'll be able to use your new or existing...
Taarifa za saa 2 usiku huu toka Televisheni za TBC1, ITV na StarTV zinapishana. Pamoja na kwamba, kimsingi, ITV na StarTV wanaonyesha kuwa ufauru umeshuka (StarTV wanaonyesha ~ 22%, ITV kadri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.