Kwanza habari za hasubuh wana jamii forum,mimi wiki moja iliyopita nlisikia kuwa 'mwimbaji wa nyimbo za injili martha mwaipaja amefariki,kwakuwa nimesafiri nje ya dar cikuweza kujua kwa...
wana Jf mimi nawapenda sana, maanaka kila nikiomba msaada huku wa kitu huwa napata majibu mazuri sana duh bila hii blog sijui ningekuwa wapi. i love this blog a lot than FB. sasa mimi nataka kuja...
Gladys Bulinya at home with five of her six sets of twins
Most women would struggle to cope with six sets of twins but for Gladys Bulinya it is even more difficult - as many people in her part of...
Suluhisho mimi naona ni hili:
1)Sylabus nzima sekondari wafundishe kwa kiswahili.
2)Mitihani ni migumu, ifanywe rahisi kidogo kama ulaya na marekani
3)Miaka minne sekondari ni mingi sana...
kwa kwel leo nilikuwa pale kituo cha polisi wazo hili hali niliyojionea inatisha sana kwa vumbi jembamba linalotoka kiwandani na kuenea eneo lote lile jamani wakazi wa pale kwa hali ile ugonjwa wa...
Wiki iliyopita tarehe 20/01/2011 Waziri mkuu wa Kenya Mh. Raila Odinga alikuwa amekwenda kwao mkoa wa Nyanza kuhudhuria maazimisho ya Miaka 17 tangu kufariki Makamo wa Kwanza wa Jamhuri ya Kenya...
Baada ya miaka mingi ya kutawala jimbo la ARUSHA kwa baadhi ya wabunge wa chama tawala {ccm}kutoleta muamko wa mafanikio imeonekana sasa inaiga sera za Mbunge Godbless Lema za kuwasomesha watoto...
UONGOZI wa kijiji cha Bangata, Arumeru mkoani hapa ukishirikiana na wakazi wa kijiji hicho, umevamia shule ya msingi Bangata na kumtimua Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Ephraimu Loi, kwa madai ya...
HOFU imetanda kwa wakazi wa Mtaa wa Matokeo Kata ya Mabibo baada ya kuzuka kundi la vijana wa kihuni wanaojiita Watoto wa Mbwa wanaofanya uhalifu katika eneo hilo.Akizungumza na gazeti hili...
SERIKALI imesema kuanzishwa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, hakujakiuka sheria ya serikali za mitaa inayosisitiza kupeleka madaraka kwa umma. Mkuu wa Habari, Elimu na...
Rais amemwambia waziri mkuu wa Canada kuwa nchi yake haikubaliani na uamuzi wa Gbagbo kwa sababu vigezo vyote vinaonyesha kuwa hakushinda uchaguzi..Rais Kikwete aliyasema hayo alipokutana na...
Kuna taarifa kuwa Chama Cha Wananchi (CUF), kimewazuia mawaziri wake wanaounda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kutumia magari ya serikali kwa ajili ya shughuli za kisiasa za chama hicho kwa...
wana jf. ni imani yangu kuwa wana jf wengi hawawezi kuingia au kunaswa na mitego ya matapeli au scammers wanatumia ICT kujaribu kuwarubuni.
Lakini ni wajibu wetu tuwafaamishe ndugu jamaa...
Kibwagizo cha Mwaka 2011 ni hiki:
Mwaka huu tutakuwa na moja moja nyingi tu - tarehe 1/1/11, 1/11/11, na 11/11/11.
Zaidi ya hilo chukua mwaka uliozaliwa say - 1961
Halafu piga hesabu mwaka huu...
Kila mtanzania anakubali kwamba nchi hii ilitengenezwa na watu waliojaribu kushughulisha bongo zao kufikiri. Kufikiri huku ni katika kujaribu kuitengeneza Tanzania ya wakati huo (wakati wa uhuru)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.