Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Years of conflict in Iraq have left the country with more than one million war widows and a shortage of young unmarried men - pressures that may be bringing about the return of polygamy. BBC...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Mlimani TV inayomilikiwa na wasomi utakuona akina dada wetu ambao ni watangazaji wakiruhusiwa kuvaa hijab na huku wakiwa Live wanatangaza. hii nimeona ktk taarifa ya habari au hata katika habari...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna mtu amenitumia email yenye link ya namba hii ambayo amesema ni ya UK inatumia watu SMS na kuwaambia wameshinda kiasi kikubwa cha pesa kutokana na promotions mbalimbali na kuwaomba Bank...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wajameni naomba kuuliza kwa yeyote anaefahamu, kuna sehemu nyingi hapa Tanzania Hasa Vijijini utakuta alama za eitha Ukuta wa mita kama 3 kwenda juu na mita 4 upana au utakuta sehemu pamemiminwa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
niko kwenye mchakato wakufungua kituo cha radio..Mwanza na cover maeneo ya mikoa y MWZ,MARA,KAGERA,SHINYANGA,TABARA,KIGOMA,SINGIDA NA DODOMA.awamu ya pili nitendelea kuchukua baadhi ya mikoa...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
watanzania jasho la damu litatutoka kwa Dowans. Mishahara hakuna wafanyakazi wa serikali. Hazina ni kavu. Na ukipata utalipiwa dirishani. Je kwa ugumu huu wezi watawaacha wafanyakazi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
SERIKALI imetangaza kwamba itazuia uingizaji wa pikipiki na bajaji zilizotengenezwa chini ya viwango ambazo hazijafikia ubora wake na Shiriki la Viwango nchini (TBS) ifikapo Januari 31 mwaka huu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukiangalia matokeo ya kidato cha nne mwaka huu kama ilivyo miaka iliyopita private candidates wengi wamedondokea kwenye division Four na Zero. Miaka ya hivi karibuni binafsi nimeshuhudia wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Polisi wetu hao kila siku tunawaona wakitembea na magari yao ila wakati wa matikio hawana mafuta!! Bus Driver Blames Police Force Over Fuel for Vehicles Gasper Andrew 25 January 2011...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chadema mkoa wa Mara wamewasha mwenge(taa ya kandili-chemli) itakayozunguka mkoa wote wa mara kumulika ufisadi na kuungamiza. Source ITV news.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mzanzibari huyu anaozea jela. Hawa marekani si wamkamate Osama basi mbona wameshukia bango Mtanzania huyu? Judge sentences ex-Guantanamo detainee to life Jan 25, 2011 (Reuters) - A U.S. judge...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
jE Tunaelekea wapi???????????????????????????????????????????/ http://www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/s3090.htm http://www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/s0836.htm
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Profesa Anna Tibaijuka, sisi ni wakulima na wafugaji wa vijiji vya Kiserian, Olkerian na Nduruma, katika Kata ya Moshono na Mlangarini jijini Arusha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakazi 30 wa Kijiji cha Ihanda wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya juzi walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi kujibu shitaka la kuchoma moto basi la abiria aina ya Toyota Coaster lililokuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna yeyote anayemjua vizuri lusekelo raphael kibona na anisaidie kuwayupo wapi?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wapendwa watanzania wenzangu kijana kwenye picha ni mtoto umri miaka 10 amepata ajali ya moto,yupo muhimbili anahitaji msaada wa chakula,fedha na matibabu kwa ujumla ni gharama.hivyo tunaomba...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mzee Huyu Balaa! Asubuhi huonekana mitaa ya katikati ya jiji la Dar es Salaam akijifanya mlemavu wa miguu akiomba omba, jioni huonekana kweye kumbi za starehe akipata ulabu. Mzee mmoja ambaye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cairo, Egypt (CNN) -- Thousands of people who filled the streets of Cairo on Tuesday hope their demonstrations against corruption and failing economic policies will cause upheaval in the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mrema: CCM isilinde mawaziri Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 26th January 2011 @ 07:50 Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimetakiwa kuacha kulinda mawaziri wake wanaotoa kauli tata na kukinzana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana nilifika TRA-samora pale nje nilinasa mazungumzo ya mzungu na msaidizi wake 'Shabani why dont you give him chochote so that this nightmare can end,its been a week now'. Hiyo chochote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom