Jumanne Januari 25, 2011
Makala
Matuta barabarani yataondoka sheria zikiimarishwa
Imeandikwa na Judicate R. Shoo; Tarehe: 24th January 2011 @ 23:59
AMRI iliyotolewa hivi karibuni na Waziri...
Kwanza kabisa poleni na majukumu ya uendeshaji wa jamvi hili.
Leo hii nimeshuhudia uwepo wa kitufe cha "Thanks" kwa mobile users.kwa niaba ya wengine nachukua fursa hii kuwashukuru na...
Tambwe hiza kiongozi wa propaganda CCM, akihojiwa na chanel ten, amesema CDM , ndio kinausika na migomo yote ya hapa nchini inayotokea, kwa habari zaidi fatilia chanel ten sasa hivi
Lile jinamizi la mgomo wa wanafunzi wa elimu ya juu limepiga kambi Makumira University. Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wamezira kuingia class kwa madai ya kutokupewa hela ya kujikimu. Hii imetokana...
Ndugu wapendwa wana jf!
Kila mtu na zawadi yake kwa anaempenda au anaowapenda.
Zawadi yangu kama mtaalam wa tasnia hii nimewafikishieni hii zawadi yangu kwa upendo wang wote!! Kwa mwaka 2011.
Unapofungua JF where do u start, Kuna wengine wanaanzia Jamii photo, wengine International, Wengine Siasa, Wengine, Kwa Docta kule, Wengine wanaanzia Inteligence, basi kila mmoja na upande wake...
Hivi TFF itaendelea kufuga hizi aibu na fedheha mpaka lini? Kwa mfano jana kuna mechi moja ya ligi kuu ilichezwa na hapakuwa na kibao cha kufanyia mabadiliko zaidi ya kutumia makaratasi ya...
USHAURI WA BURE
POINTS ON HOW TO IMPROVE YOUR LIFE
by Randy Pausch
Personality:
1. Don't compare your life to others. You have no idea what their journey is all about.
2. Don't have...
:nono:NATAMANI KULIA AU NIJIVESHE MABOMU NIENDE BUNGENI NIKAJILIPUE MAAANA NIMEPITA PITA KWA NJIA NIMEONA VIJANA WENGI WAKICHIMBA MITARU NA KUWEKA HAKO KA WIRE CHA MAWASILIANO NIKABAATIKA KUKAONA...
Sunday, 23 January 2011
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk. Valentino Mokiwa
Mussa Mwangoka, Sumbawanga
na Minael Msuya, Dar
MGOGORO umezidi kutikisa Kanisa Anglikana nchini...
Mwanaume mmoja wa nchini Australia ambaye kutokana na pombe alizokunywa aliamua kumvua kinguvu mkewe nguo zake na kumbusu makalio yake, amenusurika kutupwa jela kwa kufanya shambulizi la kijinsia...
WANA JF NAULIZA HIVI WATOTOT WAKIMASIKINI WASSOME MPAKA LEVEL GANI WAPATE AJIRA AU KAZI KAMA WATOT WA HAO VIGOG MAANA INATIA UCHUNGU KILA SEHEMU NYETI WATOTO WAO SIE JE HAPO NDIPO KILIO CHANGU...
Wadau naomba kuliza; Hivi kuna flight inayofanya Safari ya Arusha- Bukoba? Na je kama ipo ipi na fare ni kiasi gani to an fro? Ntashukuru kwa msaada wenu!
Naomba kuwasilisha, Asanteni!
January 24, 2011 at 5:25pm
source, michuzi blog, View GLOBAL's News na TBC taifa news.
Michael Wage akiondoka mahakamani baada ya kukiri kutoa rushwa ya shilingi milioni 10.
Na Richard Bukos...
Makao Makuu ya MI6,London
Mashirika ya ushushushu ya Uingereza,MI5 na MI6,leo yalitarajiwa kuieleza Mahakama Kuu ya hapa kwamba siku zijazo taarifa za kiusalama zitazokusanywa nje ya nchi...
Kwenye moja ya threads zako uliwahi kusema juu ya kufungua dojo kwa ajili ya kufundisha kung-fu mwezi huu wa January. Mimi ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa mchezo huu na ninasubiri kwa hamu sasa...
Katika hali ya kuchanganyikiwa serikali imezidi kuhaha katika kujaribu kuudanganya ulimwengu kuhusu mauaji ya raia yaliyofanywa na polisi jijini arusha
serikali mkoani arusha Iliwaagiza maofisa...
Jambo wote JF,
Msichoke kusoma! Nahitaji msaada!
Ndugu naombeni msaada wenu. Wakati fulani huko miaka ya nyuma, niliwahi kuoa mdada mmoja mkenya. Tuliishi kwa miaka 7.
Katika ndoa yetu ambayo...
Najua kila binadamu ana akili ya kufikili na kupembua mambo muhimu katika maisha yake,nina maaana kuwa kila mtu anahitaji kuishi maisha mazuri sana na ndo maana kila siku tunafanya kazi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.