Waja leo warudi leo msemo huu ni maarufu sana masikioni mwenu na moja kwa moja mtu akiusema unajua hiyo ni Tanga line, Tanga Raha, Kunani paleee, Makorora Wadeka, Chuda Raha au mapenzi...
Hivi karibuni hapa arusha mtaa wa sakina (white rose) Kuna mradi mkubwa wa maji umeanzishwa hawa jamaa (Mafundi) wa AUWASA wamekuwa wakitapeli watu ili wawafungie maji chapu! chapu! wengi...
Mwanamke nyota wa filamu za ngono wa nchini Ujerumani ambaye alijipatia umaarufu mkubwa baada ya kushiriki 'Big Brother Germany' amefariki dunia baada ya operesheni ya sita ya kurekebisha matiti...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Bukoba, imemhukumu Robert Maintland (42), raia wa Ugiriki kutumikia kifungo cha miaka miwili jela na kucharazwa viboko kumi, baada ya kupatikana na hatia ya kuingia nchini...
Tanzania gets $11m UK grant to train local entrepreneurs
More than 750 entrepreneurs will be trained in business planning and management then compete for cash grants. Photo/FILE
By MARY...
Waziri mkuu mstaafu amempa support big up ya hoja binafsi ya katiba mpya!pia kamuunga mkono waziri sitta kwa maoni yake juu ya dowans kwa kuwa serikali haikujadili pamoja katika baraza la...
Wajameni nimechukua hii picha kutoka kwenye blog ya ankal, binafsi imenikera sana. Kuna sababu gani ya kuweka shule ya maalbino kwenye jamii yetu. Kwanini hawa watoto wasiende shule zenye...
Asalaam Aleikum wana JF; Nimesikitishwa na kitendo cha jeshi letu tukufu la polisi kupotosha hali halisi ya tukio lililotokea Arusha kupitia vyombo vya habari. Kwa maoni ya wengi majeruhi ni wengi...
This was my best Speech of the week
"Naomba wananchi wafahamu kuwa siwezi kufungwa mdomo kupinga malipo kwa kampuni ya kitapeli ya Dowans."
Haraka ya kuilipa Dowans ni ya nini? Nchi hii ina...
JK ana degree ya Uchumi. JK ukimuuliza rate ya inflation tanzania anakwambia 5.5% kwa mwaka, tena anatongeza na vijimajigambo kwamba ilikua above tena lakini jitihada za serikali yake zimeishusha...
Chanzo: Taarifa ya Habari ya ITV saa mbili usiku.
Wazee mmesikia hiyo? Inakuwaje mji ukose umeme kwa muda mrefu kiasi hicho!! Hiyo siyo hujuma jamani??? Wazee, si mnakumbuka jinsi wakazi wa...
Tokea bwana Tildo Mhando aondoke TBC1 imekuwa ya ajabu na ya hovyoo sana. Habari za muhimu za matukio muhimu hayaoneshwi tena na kituo chetu kipenzi cha TBC au ikitokea wameonesha basi ni kidogo...
Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa...
Wabunge wa CCM waondolewa woga
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 22nd January 2011 @ 23:59
WAKATI Mkutano wa Pili wa Bunge la Jamhuri ukikaribia kuanza mapema mwezi ujao, wabunge wa CCM...
MGOGORO ndani ya Chadema mjini hapa unaomhusisha Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na baadhi ya wanachama wanaotaka ajiuzulu, umechukua sura mpya.
Hali hiyo imekuja baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.