Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Warning and Encouragement 14 Make every effort to live in peace with everyone and to be holy; without holiness no one will see the Lord. 15 See to it that no one falls short of the grace of God...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
JAMANI MIMI NILIKUWA NASAFIRI TOKA DAR KWENDA KENYA SOMETIMES LAST WEEK, NA SHIRIKA LA NDEGE LINALOANZA NA P. JANAMI HAO MA AIR HOSTESS WAKO OVYO SANA, WANAJIONA NI MORE IMPORTANT THAN THE...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wadadisi wa mambo wanabainisha kuwa mkakati kujisafisha uliobuniwa na waathirika wakuu wa sakata la Richmond/Dowans unavyo vipengere vinne; kipengere cha kwanza kilikuwa cha kumpata spika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jamii,kuna habari nimezisikia lkn cna uhakika nazo naomba majibu yenu kwa wanaojua. Inasemekana kwamba USA walikuwa wanunuzi wazuri sana wa shaba kutoka Zambia kiasi ambacho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kutokana na mitafaruku iliyojitokeza hivi karibuni ikiwemo tukio la polisi kuharibu vitendea kazi vya wanahabari na kuwapiga wakati wa maandamano ya chadema jijini arusha januari 05,2011,waandishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau , nasikitika ofisi yetu (international society) imepigwa burn marufuku kuvisit JF hasa jukwaa la siasa kutumia computer za ofisi. Mkuu wa utawala ameliweka wazi hatua kali za kinidhan...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Endasaki, wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hashimu Muna Kamunga, ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
JK amewasili Arusha leo na kuelekea Monduli kutoa kamisheni kwa maafisa wa Jeshi. Mara baada ya kushuka kwenye ndege aliwauliza waliojipanga kumpokea..."Vipi, FUJO ZIMEISHA?...MBONA MADIWANI...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Huwa NACHUKIA na utanuaji barabarani na hasa unapojikuta umekaa kwenye QUE muda mrefu then unaona magari ya serikali na wakubwa yanapita njia ambazo haziruhusiwi bila kusimamishwa na wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Which is the best Newspaper you like to read ? Choose from options or post your own if not stated
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JESHI la Polisi mkoani hapa, limekamata bunduki ya kivita katika mji mdogo wa Kaliua iliyokuwa ikitumiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Liberatus...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna tetesi kuwa leo chadema wamefanya maandamano huko songea. mwenye details alete mezani!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema Kila nikikumbuka hizi picha huwa zinanikumbusha mambo mengi and i also get emotional andhaa kanoon-amitah bachan disco dancer-mithun...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dar suspends 22 bonded warehouses The TRA headquarters in Dar es Salaam. Photo/FILE By JOINT REPORT THE EAST AFRICAN Posted Saturday, September 6 2008 at 14:19 The Tanzanian...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
naam. viwanja ni mabibo hostel jumamosi kuanzia saa 7mchana. dr slaa, mbowe, mnyika yaani timu zima ya chadema. ulikuwa unajua hii
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi wadau, ule mjengo uliopo opposite na St. Peters (nyuma ya DSTV) ni wa nini? Kila siku asubuhi nikiwa naenda kazini napita pale, ila mpaka leo sijui ni mjengo wa nini/nani. Maana...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
That's how to deal with pirates: South Korean commandos storm hijacked tanker and rescue all crew alive South Korean navy commandos stormed a ship hijacked by Somali pirates in the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lindeni makandarasi wa ndani - Mwakyembe Friday, 21 January 2011 20:45 Elizabeth Ernest WAKALA wa Ujenzi wa barabara nchini (TANROADS) , imetakiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kukuwa kwa biashara ya dawa za kuongeza nguvu za kiume kunatokana na uvaaji wa kinadada wetu. yaani mwili wake wote huwa nje na wengine hata matiti yake huwa wazi pindi akitembea sehemu za watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MIILI ya watoto wanne pamoja na baba yao wanatarajiwa kuzikwa leo. Jana mwanamke aliyeweza kutoroka na kupelekea mume wake afanye mauaji hayo alirudi nyumbani hapo na kushuhudia miili ya watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom