Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu wana jf leo kesi ya kina Dr slaa inakuja kwa kutajwa mahakamani. Hata hivyo mashaka yameongezwa na kuwa matano hivyo watasomewa upya mashtaka mapya. Hati hiyo hii hapa IN...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KAMANDA MPINGA HILI NALO LIANGALIE KWA MACHO MAWILI. Jamani wana JF hivi ni lini Watanzania wataishi katika nchi yao bila kunyanyasika ebu sikieni yanayofanyika hapa Mbeya , Vituko vya wenzetu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo ni tamasha la wanyambo waishio wilayani Karagwe tangu 21/1-23/1 2011. Makumbusho Dar. Tunaomba machapisho, picha mbalimbali wale mtakao fanikiwa kuhudhuria ili tupate vionjo vya kabila hilo.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Na Shija Felician, Kahama . Jumla ya ng’ombe 11 zimeuawa kwa kipigwa na radi katika kijiji cha Ubagwe ,Wilayani Kahama hali ambayo imewatia hofu wananchi kwa kuwa matukio ya radi kupiga na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo viongozi wa CHADEMA watasomewa mashaka mapya. SASA JUMLA YATAKUWA MANNE. HATI MPYA HII HAPA: IN THE RESIDENT MAGISTRATE’S COURT OF ARUSHA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF, Leo nimepata tetesi toka Mwanza kuwa M/Kiti UVCCM Mkoa wa Mwanza ametiwa nguvuni kwa kujipatia pesa kwa kutumia cheo chake ambavyo ni kinyume na sheria na taratibu za kazi na kinyume na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WANAUME wa kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera ambao hawajatahiriwa wametakiwa kujiandaa kushiriki uzinduzi wa tohara kwa wanaume Januari 22. Taarifa iliyotolewa jana na Ubalozi wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imemhukumu kwenda jela mwaka mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wilaya ya Morogoro Mjini , Charles Matambo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By admin –January 20, 2011Posted in: Habari Mchanganyiko Na Salehe Mohamed MSHAURI wa jopo la masheikh na wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Iddi Simba, amesema nchi ipo hatarini kwa sababu amani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilisoma moja ya makala ya Mwanahalisi ya jana, mbasha asenga alijaribu kutetea sana dk slaa kuhusu hizi tuhuma za udini. hata mimi napingana na mtazamo wa wengi kama dk slaa ni mdini licha ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Vigogo wamega maeneo ya vijiji Pwani Thursday, 20 January 2011 20:55 Julieth Ngarabali, Pwani Mwananchi WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Anna Tibaijuka sasa atalazimika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Dr Michael Mosley BBC Four's The Brain: A Secret History Imagine being attacked by one of your own hands, which repeatedly tries to slap and punch you. Or you go...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
UVCCM leo wameonyesha ukomavu wa hali ya juu na kuguswa na maslahi ya taifa baada ya kutoa matamko kadhaa likiwemo la kuitaka serikali kuwataja hadharani wamiliki wa Richmond ili wabebe mzigo wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeamua kuandika hivi kwa hisia zangu kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini, haswa kuhusiana na swala la Dowans. Ukimya wake ni moja ya jambo lililonipelekea kuwa na hisia hizi. Pia nina...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ukombozi wa nchi upo mikononi mwetu. Mimi nimedhamiria na kila wiki lazima nimtumie mzee wangu magazeti ya mwanahalisi na raia mwema na mwananchi ili ajue nchi inavyo endeshwa na kisha tunapiga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wana JF, Habari za majukumu. Naomba mwenye list nzima na anwani ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano kwa 2011 anisaidie. Nina shida nazo sana. Asante
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ndugu katika JF, Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc. Naomba michango yeno wana JF!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nimesikiliza habari jioni hii bbc kumbe maandamano yalisababishwa na kijana mmoja ambaye askali jiji walimkamata akiwa anauza matunda mitaani na alipofuatilia na kutaka kupewa mzigo wake ndipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana au juzi nilimsikia Kamanda wa kikosi cha barabarani, Kamanda Mpinga, akisema kwamba moja ya sababu kubwa mpaka sasa idadi ya watu waliobadilisha leseni mpya kuwa chini ni fact iliyowazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom