Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hivi hizi blogs zote zinafanana? ukienda michuzi habari ndio hizo hizo....ukienda mjengwa au bongo celebrity na zinginezo they all have same news na majority are poorly structured which can be...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari za leo wana Jamii Forum! Nimekaa kwa muda nikitafakari tokea siku lilipotokea lile tukio lililolikumba nnchi yetu baada ya jeshi la polisi wakisaidiana na mgambo kuzibiti maandamano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinatarajia kujenga ukuta kuzunguka eneo lote la chuo hicho, ili kukabiliana na kile ambacho uongozi wake umekiita tishio la uhalifu na uvamizi wa eneo hilo...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kashfa nyingine nzito kwa Polisi Arusha na Violet Tillya, Arusha WAKATI wakazi wa Arusha wakiwa bado na kumbukumbu ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, naona lile jengo la Zain pale morocco kuna baadhi ya sehemu wamekodishwa watu wengine. Je na ule mjengo pale opposite na st. peters, wale jamaa wanautumia mjengo wote, au kuna emti spesi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu Sita wamekwama kwenye lift katika Jengo la Mwalimu House, Jitihada za kuwaokoa zinaendelea.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha sebastin kolowa, kilchopo Lushoto Tanga. kinasemekana kuendesha chuo kibabe kupitia serikali ya wanachuo ambayo inaegemea sana utawala badala ya maslahi ya wanachuo. Tare...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kusoma full text ya tamko la masheikh, ukijumlisha na frustrations za maisha kama dowans, umeme plus price influctuation katika kila utakachogusa, plus dictates acts from executives, i...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
The human eye can detect millions of colors and is sensitive to light and sounds. Yes, sound. University research studies show that mild and incidental noises cause the pupils of the eyes to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha walinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekaaa na kujiuliza Huu ugeni Mkubwa tulionao hapa JF kwa siku mbili hizi, ni wageni wapya kwa maana ya upya au ni walewale wamekuja na ID mpya baada ya Panga la INVs?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni ya kutoka norway itazalisha umeme wa kutumia upepo 600mw ifikapo 2013 wilayani mbinga.mwewekezaji wa ndani ni alex lema.swali kina mwakyembe wameingiaje mkataba na govt na kuipa share 51%...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Power woes hit TRA collection By DAILY NEWS Reporter, 19th January 2011 @ 22:00, Total Comments: 0, Hits: 66 FREQUENT power black-outs have largely affected operations at the Tanzania Revenue...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Great thinkers, let us refresh with this message. hope u will gain something and forget for a while the issues of dowans, constitution, power rationing, etc 1. Put 400 bricks in a closed room...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
naombeni maelezo na hatua namna ya kutengeneza website yangu mwenyewe..hatua ya kwanza mpaka ya mwisho..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pembe za faru zilizokamatwa feki - Polisi Na Berensi Alikadi, Bunda KIKOSI cha Kuzuia Ujangili Kanda ya Serengeti kilichopo wilayani Bunda, mkoani Mara kimesema kuwa watu wawili waliokamatwa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
This picture as real caused me to me emotional against our ministers who never give priorities to their citizens. Why cant they abolish this foreigners to do the work local people can do...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Swiss police have re-arrested a former banker on fresh charges of breaching bank secrecy laws by passing data to whistleblowers' website WikiLeaks. Only hours earlier Rudolf Elmer was...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha walinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom