Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Rais wa Kampuni ya RBP Oil & Industial Technology (T)Ltd ,Mama Rahma Al Kharous katikati akizungumza na wanahabari leo juu ya udhamini wake wa shilingi mil. 30 kwa ajili ya ukarabati wa msikiti...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
wakuu heshima mbele naomba nieleze kwa kifupi kuna viongozi wamechakachua eneo la wazi lililotolewa kwa ajili ya shughuli za kijamii ni eneo la heka mbili walichofanya wakajenga kiofisi cha ccm...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna habari imetufikia hapa ofisini kuwa watajwa hapo juu wamejiudhulu kutokana na kashfa ya DOWANS. mwenye data atujuze jamani.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
WANA JF poleni na makujumu ya kila siku na maisha yalivyo tafu. Jamani naombeni msaaada kama kuna mtu anajua masuala ya TRA agent wangu ananizingua kila kukicha sasa gari lina mwezi na nusu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF,nadhani ni bukheri kabisa wa afya!. Kwa kweli kwa umaarufu wa huu mji ktk historia ya bongo hii nyanja yoyote ile huwezi kuamini ukifika tu hapa mjini morogoro. Mji umekithiri kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kashfa nyingine nzito kwa Polisi Arusha na Violet Tillya, Arusha WAKATI wakazi wa Arusha wakiwa bado na kumbukumbu ya machungu ya kupotelewa na wenzao watatu waliouawa na Jeshi la Polisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sentensi niliyo ibold hapo chini nimefananisha na wezi wa EPA, haiwezekani wafanyakazi hewa walipwe mabilioni ya walipa kodi, na solution iwe ni kuwaondoa tu kwenye payrol na si kuwapeleka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MASHTA MAPYA YA CHADEMA HAYA HAPA NA WATASOMEWA LEO MCHANA. IN THE RESIDENT MAGISTRATE’S COURT OF ARUSHA AT...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Angalia hii picha kwenye facebook http://sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-snc6/hs067.snc6/167779_496619332051_706337051_5897615_1983473_n.jpg?dl=1
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwito uliotolewa na uvccm wakutaka suala la Dowans kurudiwa upya ni mpango uliosukwa na wahusika wakuu wa kashfa hiyo kwaajili ya kujisafisha. UVCCM ianatumika tu kama kipaza sauti kwaajili ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale waliodamka asbh leo kuelekea posta kupitia njia ya moroco kulikuwa na mabadiliko kidogo mapolisi walisimama pale salenda mara nikaona wanaita gari letu kuelekea kulia yaani bara bara ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kituko cha Arusha hiki hapa. Mtaalamu wa kuvuta boby marley, jana alizimika kama wale wanao zima Bar baada ya kukata kilaji cha nguvu. Jamaa kazimika kwa kitu cha Malawi. Nilimsikiaa jamaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Most of us rely on e-mail as one of our primary communication tools. And given the number of messages we send and receive, we do it with remarkable success. But as with anything, the more...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Hili neno nimekuwa nikilikia mara kwa mara likitajwatajwa kwenye sentensi tofauti. Hivi maana yake haswa ni nini? na linatumikaje?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Yaliyonipata katika kiwanja cha ndege cha KIA sitasahau. Nimekata tikiti ya kutoka KIA kwenda DAR kwa precision. Ndege ilitakiwa kuondoa KIA saa 4:30 asubuhi, reporting time saa tatu asubuhi, nime...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
WIKI iliyopita vyombo vya habari viliandika kwa kina juu ya machafuko na mauaji ya Arusha. Kila kundi kati ya wanasiasa, viongozi wa dini, wana habari na hata wananchi wa kawaida, wanajadili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The Ten Most Expensive Gifts President Obama Was Given in 2009 Thanks, Pope!Photo: Saul Loeb/AFP/Getty Images For the sake of transparency and ethics, probably, the State Department has...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jerry Okungu PEOPLE power can be a great thing. It can force dictators to vacate the comforts of their palaces and seek refuge in foreign lands. It is proof enough that being...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Rushwa yatawala ugawaji viwanja Mbeya na Moses Ng'wat, Mbeya ZOEZI la ugawaji wa maeneo ya kujenga vibanda vya biashara kwa wafanyabiashara waliounguliwa na Soko la Uhindini, jijini Mbeya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana kulikuwa na thread iliyokuwa na kichwa cha habari "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo kuhusu Dowans" Source ya thread hiyo ilikuwa gazeti la "TZ Daima". Watu wengi tulipoteza MUDA mwingi...
0 Reactions
97 Replies
11K Views
Back
Top Bottom