Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo cha Ruco wakiwa katika mgomo leo wakishinikiza bodi ya mikopo kuwaingiza fedha zao za kujikimu kiasi cha shilingi 300,000 kama ilivyokuwa katika vyuo cya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Last week kikao cha CC ya CCM, kilichoongozwa na JK, kiliamua kuwa Dowans lazima ilipwe. Jana, kikao cha kamati ya wabunge wa CCM, kilichoongozwa na JK, kiliamua kuwa Dowans isilipwe. Sasa JK...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini sehemu ya Makumira wafunga barabara ya Moshi/Arusha.Polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya.sour nipashe breaking news
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huwezi jua una uwezo kiasi gani kufanya mambo tofauti na yale uliyoyazoea. Binadamu kwa kawaida tunapenda kukaa kwenye hali yenye nafuu au inayotufurahisha au kufanya maisha yetu yawe laini (...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SERIKALI imesema katika muda wa miezi saba itakuwa imekamilisha kuhuisha malipo ya mishahara ya watumishi wa umma kwa njia ya elektroniki. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukisoma welcome note ya Invisible (Robot) hapo juu kwenye forum zenu utaona juu ya jina lake kaandkia kama nilivyoandika kwenye title. Swali: Anamaana gani? Ndio itakua kifo cha JF tujiandae kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikuta tangazo moja kwenye ubao wa matangazo kuhusu mafunzo ya computer lakini nimeshangaa kitu kimoja Tangazo liko hivi Kozi zitolewazo ni Introduction to Computer-50,000 Ms Word 40,000 Excel...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Katika pitapita yangu maeneo ya katikati ya mji nilishtuka nilipokuta uzio uliokuwa umewekwa kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa jengo la Mfuko wa Mwalimu Nyerere ukiwa umeondolewa na eneo hilo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Oprah Winfrey revealed on her television show Monday morning that she has a half-sister she knew nothing about. The sister, Patricia, had been kept a secret by Oprah's mother who put her up for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa kwenye website ya Ippmedia.com kuwa basi la abiria la Falcon limetekwa ktk mlima sekenke na abiria kuporwa ikiwani pamoja abiria nane kujeruhiwa na dereva kukatwa mkono. Tunaomba...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Toka juzi niliona JF imeanzisha sehemu ya kuchart na marafiki..lakini sijaona sehemu ambayo naweza kuchart na marafiki..kama kuna mtu ambaye anatumia huduma hii naomba mnielekeze..natumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Feminists are obnoxious bigots and men have a raw deal: Tory MP calls for male equality By James Chapman Last updated at 8:23 AM on 25th January 2011 Men are increasingly the victims of...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Ndugu wana JF, Jana nilipitia Mahaba Beach Club, maeneo ya boko ununio, baada ya uchovu wa kazi jioni. Nikakutana na balaa lililo nisikitisha sana. Watoto watatu wa shule ya wasichana ya sekondari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
YouTube - funny drunks...extremly hilarious YouTube - Burundese speaking english! Lol YouTube - UGANDAN SPEAKING ENGLISH
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asha Rashid set to join top club in Turkey Women's Premier League Striker Asha Rashid of Mburahati Queens F.C. and the Tanzanian women's national football team (Twiga Stars) arrived Saturday in...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
"...............Lakini jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maazimio mbalimbali ya kikao hicho kilichoketi juzi Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
avator(picha) yangu haitokei plz jinsi ya kuiweka naomba munikumbushe kwa anaejua asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika makala hii iliyotoka leo katika The East African, naona Jenerali asubiri makombora makali kutoka kwa wanajinsia wa upande wea pili. Evidence reveals its corrupt women who corrupt their men...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Radio kilimanjaro ambayo inarushwa na watu weusi scotland, inamilikiwa na nani? kwa anaejuwa tafadhali msaada jamani. inapatikana kwenye mtandao huu hapa chini Radio Kilimanjaro
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AIBU KUFA NA UGONJWA WA MOYO KIJANA LAKINI KUNA WATU WANATULAZIMISHA KUUMWA SHINNIKIZO LA BLOOD,BP NK...GARI IMEIBIWA HONGERA BAR MNAOENDA KUNYWA NA KUELEWA OVYO IPO SIKU MKO SAFARINI ULINZI WA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom