HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE,
WAKATI WA KUADHIMISHA SIKU YA SHERIA
NCHINI, TAREHE 2 FEBRUARI, 2011
Mheshimiwa Mohamed Chande...
Najisikia vibaya sana kutokana na hali halisi ya Taifa letu,kuna vitu vingi sana vinasikitisha na tumeviona,wototo kufukiwa katika kaburi moja,dowans,IPTL,EPA,makalio ya wachina n.k.
Lakini hili...
Na Emakulata Peter
MKAZI wa Kibamba jijini Dar es Salaam, Diana Roman (18) ambaye alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Yusuph Makamba ya jijini Dar es Salaam amejiua kwa kunywa dawa ya...
Angalia hii hapa ambayo inauhusiano na ile site ya ZE UTAMU
Four arrested over doctored JK photo
Lakini pia wafanye kila wawezalo hili wamkamate huyo mwenye hiyo site mbona Asange alikamatwa
Wakuu,
Usije ukajisahau halafu ukaicha noti mpya ya elfu kumi ndani ya nguo, halafu ukafua na nguo zenye rangi nyeupe. Rangi inachuja wakuu.
We kama huamini, chukua noti ya elfu kumi sasa hivi...
ebwana mnajua hivi sasa tigo wanachangisha 150ml kutoka kwa wateja! Ubaya ni kwamba wanalazimishia michango, kwa mfano ukitaka kujiunga na exstreme sms upate msg 100 utaambiwa huna salio, au...
Wapendwa wanajf,hoping kuwa mkiwa ndani ya forum hii mnapata matulizo na matumaini ya matatizo meengi ambayo yanatuface ajira,street kids,machinga,migomo,kupanda kwa gharama ya vitu,dowans n.k...
wakuu hapa niko maeneo ya mwenge kuna gari imegonga mtu hapa wanapouza vinyago sasa fujo zimeanza kwa kasi watu wenye hasira wanapiga magari na kupambana vikali na polisi ambao wamefika hapa kama...
Nimeukuta mjadala huu:
"Hawa wote ni wanyama jamii ya chui lakini kila mmoja ana jina lake,naomba mnisaidie kuwajua kwa lugha ya kiswahili yupi ni yupi maana mie nachanganya tu."
Huyu ni...
Kumekuwa na tabia chafu ya magari ya wizara, idara na mawakala mbalimbali wa serikali, mawaziri, spika, naibu spika, majaji na hata wanajeshi kujiona ya kwamba wao wapo juu ya sheria za usalama...
Oxford law graduate sues tutors for ruining her career.
Maria Abramova, 28, is suing her tutors for £100,000 for not giving her enough tuition in exam technique which caused her to fail her...
Wadau hasa ambao mnaangalia ALJAZEERA LIVE mnaona hii vita wanaonga mkono wapo juu ya magorofa wanarushia mawe waliopo kwenye waandamanaji uwanja wa Tahihir hakuna hatua zozote za kiusalama wala...
Hii hali ya Ubungo Bus Terminal inasikitisha sana kuona kuko giza kila umeme unapokatika. Nimeshuka hapo mara kadhaa usiku ni giza nene. Sipendi kuamini kuwa uongozi wa hapo umeshindwa kugharamia...
MAITI za watoto 10 zimekutwa zikiwa zimefukiwa kwenye shimo moja huku zikiwa zimefunikwa kanga na mashuka ya Hospitali ya Mwananyamala ya jijini Dar es Salaam.
Maiti hizo zimekutwa katika eneo la...
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika ambaye hujulikana kwa kufanya biashara ya kujiuza asubuhi ya jana alikuwa kituko katika maeneo ya Biafra Kinondoni wakati alipoamua kujianika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.