Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa habari nlizopata usiku huu kutoka kwa mwanafunzi.Chuo Mlimani kitakuwa na Maandamano kama Egypt kuimiza serikali iwaongee mkopo kwa ajili ya matumizi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB), imeurarua Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), kutokana na kile ilichokiita ni kutoa taarifa, "za kizushi na za kukurupuka," na kutaka isigeuzwe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Taarifa nilizozipata hivi punde huko Mabibo Hostel kumekuwa na maandamano tangu saa 12 asubuhi. Wanafunzi wamevunja milango ya mabweni ya wasichana kuwashinikiza waungane kwenye maandamano na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF naombeni ushauri wenu. Sijawahi kumiliki gari naona sasa muda muafaka umefika. My dream car ni swift, wakati ninapanga kukamilisha ndoto yangu nishaurini. Sina uelewa wa magari na hili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A judge once described her as a lying deceitful woman who deserved not an iota of sympathy. But yesterday a Tanzanian asylum seeker was granted the right to stay in Britain – because since...
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Katika nchi ya Nepal kituo kimoja kimeanza mkakati wa kusoma taarifa ya habari gizani ili kuishinikiza serikali iongeze uzalishaji wa umeme na ikatishe mgao wa masaa 12 kila siku. Je, vituo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mtumishi wa serikali ngazi ya mshahara TGTS D,nimeolewa na nina mtoto mmoja, pia ninaishi na watoto wengine wawili ambao tunawasomesha secondari. Kwa ujumla maisha ni magumu ukilinganisha...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jaman wakuu naomba mnisaidie kujua post iliyochangiwa had leo tarehe 04feb2011 nahitaji tu kufahamu hata kama mods watanisaidia hiyo itakua poa sana......naombeni msaada wenu please........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
No wonder she's smiling. Having claimed in December he would soon disclose the 500-year mystery of who had served as the model for Leonardo da Vinci's enigmatic Mona Lisa, researcher Silvano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Napenda kutanguliza definition ya special school kabla ya kuingia kwenye mada. Kwa 'special schools' nina maana shule za serikali zinachochukua wanafunzi waliofaulu vizuri au...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna tetesi kwamba watu watatu wamekufa Muhimbil baada ya umeme kukatika usiku wa leo, walikuwa wanapumulia mashine sasa nauliza hivi mgao wa umeme upo mpaka sehemu tete kama hizi? Jamani hii nchi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo Asbh Gerald hando amenigusa sana na kusema kama kweli viongozi wetu wana mambo yao katika shule za kata, na kuzipa majina yao, Sasa majina ya shule za kata ni ya viongozi tena wanasiasa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau nilikuwa na dada 1 ambaye nilimpenda sana nayeye alionesha kunipenda ila tulikuwa tunakaa sehemu tofauti mi nilikuwa nafanya kazi wilaya nyingi na yeye mkoani, nilipata likizo sept 2008...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi hodi humu jamani greatest thinkers mpo, nipokeeni jamani.
0 Reactions
7 Replies
958 Views
nimeangalia kwenye taarifa ya habari ya tbc1 nimeona shule moja ya msingi ya mwaluko b mkoani shinyanga wanatumia darasa moja wanafunzi wa madarasa mawili mfano darasa la 6 na 7 wanachangia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huku ninapoishi kumekuwa na katizo la umeme since jana mpaka mda huu usiku haujarudi. Nimempigina injinia mmoja wa Tanesco amenihabarisha kuwa kuna upungufu mkubwa kwenye vyanzo vya umeme. Na siku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Profesa Shivji ashauri walimu walipwe zaidi ya mawaziri Mwanazuoni maarufu nchini, Profesa Issa Shivji, ameishauri serikali iwalipe walimu mishahara mizuri zaidi ya mawaziri kwa kuwa kazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ndg wanajamvi nimeishi ktk mkoa wa kigoma katika wilaya ya kibondo na kasulu takribani kwa miaka minne lakini hizi station za taifa hazisikiki huku na afadhali tbc1 wale wenye satelite dish...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna kundi kubwa la wanafunzi wanaandamana kuelekea Ikulu wamebeba mabango na kuimba kwa sauti kubwa wakidai ada zao
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJF Leo nimekuja na swali tujadiliane NI KITU GANI AMBACHO KILA MWANADAMU ANAKIOGOPA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU HAPA DUNIANI? Kwa sababu nimeambiwa kunakitu ambacho kila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom