Ukitembea Tanzania vijijini utakuta huko kuna misikiti na makanisa ambayo wanavijiji huabudu Mungu wao. Misikiti na makanisa hayo yaliyopo vijijini ni yale ambayo yamekuwepo siku nyingi...
Daily mail.co.uk
By Steve Doughty
Last updated at 6:11 PM on 30th January 2011
An immigration officer tried to rid himself of his wife by adding her name to a list of terrorist suspects.
He...
wapendwa wana jamii,hebu pata picha wewe si Mtanzania kisha ukasikia kuwa kuna sehemu kuna watu wanachuna ngozi!! kisha baaada ya muda ukasikia hukohuko wanaua vikongwe!! tena mara ukasikia kuna...
Nimefanya uchunguzi kitambo sasa kuhusu style ya uendeshaji wa madereva wa Kike hapa Dar. Nimegundua yafuatayo;
1) Hawako relaxed wanapoendesha magari, wapo tense;
2) Huvuta kiti cha dereva...
WanaJF longtime hizo 80's-90's Wadau walikuwa wanakwenda kujivinjari sehemu ambazo kitambo hicho ndo ilikuwa kunawika vibaya sana; watu wa kitambo hicho kwa sasa maarufu kama old school. Baadhi ya...
Jamaa wenzangu kuna kitu napenda niulize....jana ktk sherehe za ccm pale dodoma mh.mkwere alikabidhiwa zawadi na mmoja wa mkuu wa wilaya ya kule ,sasa alipewa mifugo miiingi,ndege,mazao na hata...
Jamani tumezoea baada ya Uchaguzi Mh. Rais hupita mikoani kuwashukuru wananchi kwa kumpa ridhaa tena ya kuongoza.
Safari hii vipi mbona hapiti au kuna nini?
Ndugu zangu naomba mnisaidie hili, inakuwaje wafanyabiashara wanatutoza $ hapa kwetu kwa huduma za usafi, maji ya kisima(ya "chumvi") na ulinzi (walinzi wa kisasa a.k.a security) na serikali...
LIFE IS CRAZY.Sometime: 1: What u want u don't get it (love)2: What u get u don't enjoy it (marriage)3: What u enjoy is not permanent. (Boy/Girlfriend)4: What is permanent is boring. (husband/wife).
Ewe Mtanzania mwenzangu ,nimekuja na swali,hv unajua utajiri wako upo wapi?of course ninatambua kuwa most of tz wana-akili na hawajapata muda wa ku-expound their brains kama source ya utajiri...
DAWA za kulevya zinauzwa kama njugu kwenye mikusanyiko ya watu hususan vijana, katika miji mikubwa ikiwamo Dar es Salaam.
Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kuwa bangi, cocaine na mirungi, huuzwa...
kwa mtazamo wangu ninaona hapa kuna repitition ya maneno...kama vile inavyotokea mtu kusema barabara ya mandela road
tumeona mabenki mengi yakiandika kwenye official docs na mabango yao kama vile...
Shalom,
Kiambatanisho ni taarifa ya Wizara ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusiana na uhonjwa wa homa ya manjano na nini watalii wa nje na wa ndani wanatakiwa kufanya wakati wa...
Magufuli adaiwa kuikosesha serikali mapato
Na Reuben Kagaruki
KAMPUNI zinazojihusisha na uwekekaji mabango ya matangazo nchini, zimemshauri Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, kusitisha...
Around 5 feb 1977 a new political party was born ,it was the result of the intermarriage afro-shiraz and tanu then produced CCM,It has now reached 34 years,its the task of the party to make...
Habari yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipofungua JF world wide watch page ninakukaribisha katika kipindi cha usikivu wa mwanasiasa ambacho kitakuwa kinakujia mara kwa mara hapa jf kukuletea...
Jamani wanajf,naomba mwenye no ya simu ya takukuru mnipe,kuna hela za walimu wapya waliojiriwa zmechakachuliwa na mkurugenzi wa wilaya ya moshi..mi nataka niwachome kwasababu dodoma kila mwalimu...
hayawi hayawi yamekuwa,vijana wa chuo kikuu cha dsm wanapo ktk maandamano ya amani kuelekea ikulu kupeleka malalamiko yako kwa mh.mkwere labda anaweza wasikiliza na madai yao,wanakwenda na hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.