Wajameni, leo tuna sherehekea kuanza kwa mwaka mpya,lakini tofauti na sikukuu nyingine siku ya leo inasomeka kwa namna ya pekee. : 1 :1 : 11. Ni siku ya kipekee kabisa, je kuna mwenye uelewa wwt...
Yaani badala ya kufikilia namna ya kuwa na gharama ndogo za umeme wanawaza kuongeza tarrif on a yearly basis.
You people you are paid to think and not to whine.
Think of altenative for tarrif...
HABARI LEO (Jumamosi Januari 01, 2011)
JK aridhia Katiba Mpya
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 31st December 2010 @ 23:59 Imesomwa na watu: 639; Jumla ya maoni: 0...
Nimepewa ushauri na mtaalam wangu wa mwili... kila napomaliza mlo pia nkimaliza mazoezi ya mwili nifanyayo nipate lita 1 ya maziwa.
Sasa nlinunua aina fulani ya maziwa ..balaa lake...
Mungu kawachagua WAISLAMU wawakilishe wote duniani katika ibada ya kuuaga mwaka 2010 akaifanya siku ya mwisho wa mwaka IJUMAA.
Amewapa WAKRISTO uwakilishi wa wote katika ibada ya kukaribisha...
Ni matumaini yangu wote hapa tuko salama tokea kuanza kwa mwaka huu wa 2010 ambao unafikia ukingoni hapo itakapofika saa 6:00am! Nashukuru sana kwa wale wote waliochangia mada zangu kama zilikua...
wanaJF,
Kwa vile Tanzania sasa na sisi tumeingia katika huu mfumo wa soko huria si vibaya kuanza kujitayarisha na yatakayotufika siku za mbele.
Hii documentary ya Michael Moore inajaribu...
SIKU mbili baada ya Mkazi wa Mafinga Sadick Mhomanzi kujitokeza na kudai kuwa anaweza kuliondoa kaburi la Martin Kiyeyeu lililoko eneo la barabara kuu ya Iringa Mbeya kijiji cha Isimani huko...
Ttafiti uliofanywa ndoa za watu zinavunjika sana na hata wafanyakazi wengine kupoteza pesa zao kwa utapeli uliyojitokeza tegeta kwa ndevu stand kuna kamali inayochezwa kwa mfumo wa kuwaibia wakina...
DOGO AMESHAVIFIKIA VILELE VYA MILIMA SITA MIREFU DUNIANI IKIWEMO EVEREST.
22 May 2010 Last updated at 09:43 GMT
Jordan Romero, 13, 'becomes youngest to scale Everest'...
Spika wa bunge la Tz,Anna makinda,jana alitoa tamko la kuikubali hoja binafsi ya Mh.mnyika kuhusu uendeshaji wa mchakato wa kuanda katiba mpya.ANNA alisisitiza kuwa bunge litatumia mamlaka yake...
Jamani wana jf tuombe mwaka 2011 uwe wa mema na fanaka maaana majanga kama
1. Kura kuchakachuliwa
2. Dowans madeni
3. Mgombea binafsi
4. Umeya utata wa majiji
5. Kura za maoni zilivyosaidia...
Wiki iliyopita katika msikiti mmoja maarufu hapa Arusha kilitokea kituko cha mwaka. Wakati waumini wakiwa wameinama katika kuabudu, muumini mmoja alijisahau kuzima simu yake ya mkononi mara...
Kikwete bado anatufaa na tutaomba aongezewe muda baada ya kipindi chake kwisha. Madudu mengi yaliyopo yalifanywa na watangulizi wake. Iweje alaumiwe yeye ?
Kila nikisoma makala za ndugu yangu MS najutia kujiunga JF, najuta kwa sababu katika maisha yangu ya kawaida sidhani kama ninaweza kuwa mshirika na watu wa aina yake.
MS na watu wa aina yake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.