Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Leo ni tarehe 31 Desemba 2010. Wengi hudhani hii ni tarehe tu kama zingine lakini siku hazifanani jamani. Kila tarehe zina maana yake na sababu zake katika kila mwaka. Kwa kifupi mambo yafuatayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Masaa machache yamebaki kuachana na huu mwaka Hii ni siku nzuri yakujumuika na kumshukuru mungu kwa kutuvusha mwaka Wapendwa wana JF wapi mtakuwa leo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tajiri nambari moja duniani atua Arusha Awasili uwanjani KIA na ndege nne binafsi Yuko na wafanyabiashara wakubwa hamsini Pesa yake ni bajeti ya Tanzania mara nane Na Said Njuki, Arusha...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Kweli maisha bora kwa kila mtanzania..na kila siku hawa vijana wanakuja na njia mpya ya kuwezesha kuokoa maisha yao na familia..... majuzi asbh kuna mtangazaji mmoja akawa anaelezea watanzania...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wandugu naomba kujua kama ninaweza kupata master plan map ya jiji la Dar es Salaam kwenye mtandao. Mwenye nayo au kujua website gani ninaweza kuipata, tafadhali naomba anisaidie. Nimegoogle lakini...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
MTOTO Twaha Masoud, mwenye umri wa miezi mitano, ambaye alipotea kwa njia ya kuibwa ameokotwa akiwa ndani ya boksi lililotupwa uchochoroni karibu na nyumba aliyokuwa akiishi na wazazi wake akiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mgonjwa kafanyiwa upasuaji, mkasi ukasahaulika mwilini. Taarifa zinasema mgonjwa amefariki. Mwaka juzi mwinine alipasuliwa kichwa badala ya mguu the same hospital! Inasikitisha sana. Najiuliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imesema inaendelea kufuatilia kwa kina kubaini ukweli wa madai ya ndugu wa marehemu Scolastica Rwambo (43), ambaye alifanyiwa upasuaji hospitalini hapo na mkasi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Babu mwanablogu mzee wa nchini Taiwan mwenye umri wa miaka 83 amemuua mkewe mwenye umri wa miaka 80 kwa kumshindilia bisibisi kichwani na kisha kuweka maelezo jinsi alivyofanya mauaji hayo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Israel, Moshe Katsav amepatikana na hatia ya makosa mawili ya kubaka na kunyanyasa kijinsia na pia kutumia wadhifa wake kuzuia sheria kuonyesha makali yake na atahukumiwa kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWANAMKE anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 25 na 30 amekufa baada ya kupasuka kichwa ikidaiwa kuwa huenda kifo chake kimetokana na kurushwa au kujirusha kutoka ghorofa ya kwanza ya jengo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imeingia katika mgogoro mkubwa na ndugu wa marehemu, Scolastika Rwambo, baada ya ndugu hao, kudai kuwa marehemu alikufa kutoka na kusahaulika tumboni mwake mkasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Japo hatujauona bado 2011 nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kutufikisha siku ya leo pia kuwapongeza wanaJF wote kufika siku ya leo, naomba muungane nami kumuomba Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
POLISI mkoani hapa inawashikilia watu wanne akiwemo aliyekuwa mfanyakazi wa Benki ya Afrika (BOA), waliokuwa kwenye jaribio la uporaji wa benki hiyo, iliyopo katika Mtaa wa Kaluta, jijini Mwanza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chenge kupoteza ubunge 2015? Thursday, 30 December 2010 21:25 mbunge wa Bariad Magharibi Andrew Chenge Waandishi Wetu HUKUMU ya kifungo cha miaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii discussion nakumbuka alianzisha bujibuji kwamba kuna mtu kajitokeza kutoa lile kaburi lenye maajabu ktk njia ya iringa mbeya, taarifa ya habari ya tbc ni kwamba kaburi limeondolewa na hakuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa walikuwa wanatazama 'Kipima Joto' ITV watakuwa wamemuona mzee mmoja hivi anasema yeye ni mstaafu. Nikiangalia na kutafakari zile takwimu alizokuwa nazo na kuzi-present pale, naona napata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana nilikuwa naangalia kuapishwa kwa Jaji Mkuu M.O. Chande kupitia TV. Kuna jambo nililioligundua kwamba ukiondoa kigezo cha mvi (ambazo hata EL anazo nyingi), jaji mkuu huyu mpya anaonekana kama...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Naandika ili wanajamii nikiwa na maswali tele kichwani ya nini cha kujivunia kwa mimi kuitwa mtanzania?nimeona nitumie jamvi hili ili ndugu muweze kunisaidia kujibu baadhi ya maswali...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Mr II, amewataka wakazi jijini hapa kutomtenga mbunge wa zamani, Benson Mpesya kwa kuwa bado mchango wake wa mawazo unahitajika ili kufanikisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom