Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Michigan man faces felony charges, 5 years in prison, for reading wife's e-mail A Michigan man is facing felony charges for reading his wife's e-mail, which tipped him off to her cheating on him...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejitahidi sana kugoogle ili at least nipate website ya hawa jamaa nione some more details za hii kampuni lakini matokeo yake ndio haya!!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Siku ya kwanza ya mwaka ni 1.1.11 halafu baadaye itakuwa 11.1.11 ikifuatiwa na 1.11.11 & 11.11.11. Shehe Yahya na wapiga ramli wengine mpo apo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida taasisi nyeti ambayo imepewa dhamana ya kusimamia na kukusanya mapato nchini(TRA) leo imelazimika kusitisha huduma kwa muda mrefu kutokana na kukosekana kwa diesel...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimefikiria hili jambo nimeona kama ninaweza nikafungua kesi dhidi ya serikali na tanesco ili watueleze wamiliki wa dowans kama mtikila aliweza kufungua kesi ya kikatiba na ikamuendesha mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi zile katuni za mbu wa malaria mlengwa ni nani? Maana wanaongea kiingereza au wanalenga expats?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bei mpya za umeme hizi hapa na Chalila Kibuda SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) limeainisha gharama mpya kwa watumiaji wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hivi wananchi wakiamua kuwa na msimamo kupinga dowans wasilipwe na ghalama ya umeme kupandishwa je, ni kitu ambacho akiwezekani? Kwa mawazo yangu naona km inawezekana serikali kusalimu amri kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Ukiingia kwenye Internet Cafe nyingi jijini Dar es Salaam, na ukataka kuperuzi kwenye tovuti ya Jamii Forums huwa haifunguki, na ukiongea na wahudumu wa hiyi migahawa ya mtandao wa intaneti...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ndugu katika JF tumeona malanyingi raia wa Tanzania hukatisha hovyo barabarani hata sehemu ambazo zipo karibu kabisa na zebra (sehemu ambayo ni rasmi kwa waenda kwa miguu kukatisha barabara). Pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WANAJF hebu tutizame busara na akili za hawa watu.Hivi nani mwenye akili na busara?nani mzalendo wa kweli? Mimi kama Makamba siwezi kusema lolote ila Kamati Kuu ya CCM ndio pekee inayoweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
If you had read Mwananchi of today you may have gleaned something unique and pernicious that is engulfing our Bench………………………… The...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Wapendwa kuna dada mmoja alikuwa sister du mtaani akamkamata mchina mmoja wamefanikiwa kupata mttoto wa kike kwa bahati mbaya ma juzi mtoto alifariki dunia kwa kweli ni huzuni kubwa matokeo yake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba wana JF mnisaidie kupata CV ya huyu boss wa takukuru maana yanayosemwa na kuandikwa juu yake na bado serikali ikawa kimya haiingii aikilini. :target:
0 Reactions
0 Replies
6K Views
:painkiller:Riddled with lies': Former Israel president Moshe Katsav facing four years behind bars after being found guilty of rape Last updated at 10:04 AM on 30th December 2010...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nlilipokuwa nasoma darasa moja ambalo Instructor na wanafunzi wote ni wazungu isipokuwa mie mweusi peke yangu katika moja ya mataifa makubwa siku ya kwanza nikaona kama ni kiinimacho ukitilia...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mapacha wawili walioungana kiwiliwili, Maria Mwakikuti (kushoto) na Consolata Mwakikuti (kulia) wakipata chakula pamoja wakati wa hafla ya kuwapongeza kwa kufaulu mtihani wa Darasa la Saba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Don't arrest us, we're the sex workers of Africa Sex workers on a Mombasa street. Cance Imagine a client walking up to a sex worker in Nairobi or Kampala and asking...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakamatwa wakinadi nyeti za baba yao Na Cresensia Kapinga,Songea JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limewakamata ndugu wawili wakitafuta soko la viungo vya binadamu walivyotarajia kupita kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
29th December 2010 Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Ali Lityawi, juzi alipata kipigo kikali kutoka kwa askari wa jeshi la polisi wilayani hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom