Polisi wamshushia kipigo mwandishi
Na Mwandishi wetu
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Ali Lityawi, juzi alipata kipigo kikali kutoka kwa...
Nasikiliza radio sasa eti Eton John na partner wake wameadopt mtoto aliyezaliwa siku ya xmas na mama mmoja huko California.
Just waiting to see and hear the kind of raising that child will get...
A court in Saudi Arabia has agreed to accept a divorce that was sent by text message, a newspaper in the Gulf Kingdom reported over the weekend. The woman from the western town of Madina asked...
Baada ya kulipua nairobi habari zaidi zinasema jamaa wametangaza nchi zinzofwatia ikiwemo tanzania......,katika hili uwanja wa ndege wa dar umeongezewa ulinzi wa ajabu ambao kwa wengine ni ker...
Kijiji chadai hakina maji tangu uhuru
Na Raphael Okello, Rorya
WAKAZI wa Kijiji cha Panyakoo, Kata ya Goribe wilayani Rorya mkoani Mara wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwapatia...
Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido.
Wanajf mbeya tunaomba updates.
Kama nimewakweza kwa kutuma thread mpya na hamkuipenda mamods mtanisamehe! ila nataka kujua kitu gani nimefanya wrong kutetea JF ktk kitu nilichoona very unethical! naomba sababu ya kuifuta thread...
ndugu zangu watz, sisi hatuna sababu yoyote ya kushindwa kuendelea kama China, Japan, Malyasia n.k nchi ambazo back to 50s tulikuwa tunalingana nao_kilichotufikisha hapa ni mfumo duni Utawala...
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Khamis Mgeja, amesema hana nia ya kufanya malumbano na Anne Killango Malecela kwa kuwa halingani naye na anamheshimu sana .
Sitaki kufanya...
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi huko na humu JF. Kuhusu ushirikina...ukihusishwa na wataalam wa jadi..hata utabiri. Vizuri kufaham maana halisi ya ushirikina...kisha ifuatie kuleta uzushi...
Naanzisha mdahal/ mjadala
Je kuna mteule yeyote kwenye nafasi ya siasa(Rais,waziri,etc) na sifa za umanagerau wote tulionao wana sifa za uongozi/ u-leadership pekeee?
Waliopewa madaraka...
Mkoa wa Iringa yawezekana unaongoza kwa watu kuamua kukatisha uhai aidha kwa kujitundika au kwa kunywa sumu ukilinganisha na sehemu zingine.
Huyu ni askari wa kampuni ya ulinzi Force group...
Ajabu karibu mwaka na nusu watu wamakongo juu wamewekewa mabomba kwa mradi wa wachina.
Lakini cha ajabu maji hayajawahi toka hata siku moja na mabomba yashaanza kuibwa na yamepata kutu..
Hivi...
Ndugu wana JF na wapenda maendeleo. Leo asubuhi (saa 12) nilikuwa nasikiliza kipindi cha BBC na walikuwa na Makala ya Kimasomaso kuhusu Rwanda. Mchangiaji alikuwa mmoja wa mawaziri (nadhani Waziri...
WATU saba wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutekwa na abiria kuporwa vitu mbalimbali na majambazi.
Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Liberatus Barlow, alisema tukio hilo...
ILIKUWA kama filamu kwa wakazi wa Dar es Salaam jana wakati baadhi ya viongozi na wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), walipolizidi maarifa Jeshi la Polisi katika kuhakikisha wanafanikiwa kupeleka...
WATU wanne, akiwamo mwanafunzi wa shule ya sekondari, wamekufa kwa kujinyonga katika matukio tofauti wilayani Singida na Iramba kati ya Desemba 18 na Desemba 26 mwaka huu.
Kamanda wa Polisi wa...
Hello people! Naomba mnijuze, kuna umuhimu gani wa kubadili rangi ya noti ili hali thamani inabaki pale pale? Ina maana jitihada zetu za kuinua uchumi ni rangi ktk noti zetu. Wachumi naombeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.