MKAZI wa Vingunguti, Rajab Paulo (35) aliyekuwa akishitakiwa kwa kosa la kuendesha gari kwa uzembe, amefutiwa mashitaka hayo na kufunguliwa shitaka la kumuua mkewe katika Mahakama ya Wilaya ya...
MWANAMKE mkazi wa Mtaa wa Maili 18 eneo la Mkundi, Kata ya Lukombe katika Manispaa ya Morogoro, Bahati Emmanuel (28), ameibiwa mwanawe mchanga wa kike na msichana asiyemfahamu vyema katika...
MKAZI wa Kijiji cha Iyula wilayani Mbozi mkoani Mbeya, Padri Msyalika (50), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumpiga na kitu butu kichwani
kisha kuutupa...
WANANCHI wa Kijiji cha Nyamililo katika Kata ya Kasungamile Tarafa ya Katunguru wilayani Sengerema mkoani Mwanza, wamekamata bunduki moja aina ya SMG pamoja na risasi 20,
baada ya kupambana na...
Inaboa sana kila ukiingia kwenye web hii wana Jf mnajadili udini, NAJUTAA HATA KWA NINI NILIJIUNGA. Badilikeni na muanze kutafakari jinsi ya kuikwamua Tanzania kutoka kwenye umaskini uliotukuka.
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wametishia kugoma kuingia darasani, wakati wowote ili kuishinikiza Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Nchini (HESLB), kuwapatia mikopo.
UDSM...
HATIMAYE sakata la walimu 12 wa Shule ya Msingi Chindi iliyoko wilayani Mbozi kuacha kazi kwa madai ya hofu ya kufanyiwa ushirikina limechukua sura mpya, baada ya mkuu wa wilaya hiyo, Gabriel...
MTENDAJI wa kijiji cha Nyamililo wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Charles Lushibika (48), na wenzake watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisikwa tuhuma za kishirikina na majambazi.
Akizungumza...
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (HESLB) imesema haitoongeza kiwango cha mikopo hata wanafunzi wakiandamana kwenye ofisi zake.
Msemaji wa bodi hiyo, Veneranda Malima, alisema...
naonaga watu walio online namba ya wasio members kubwa kuliko ya walio memba
mara nyingi ni over *10, sasa why wanapewa ruhusa kwenye mengi kama list ya public forum iejaa kila kitu
mie naona...
Jana nimesikiliza radio ya Kiislamu ,ambapo mtaalamu wa mambo ya dini ya Kiislamu alikuwa anaelezea jinsi ya Kadhi Mkuu atakavyopatikana,amesema masheikh watakaa na kumpendekeza mtu watakaye muona...
Lawmaker faults council over 50m/- spent on civil servant`s house repair
By Correspondent
27th December 2010
Kibiti Member of Parliament (MP) Abdul Marombwa has expressed...
WAKATI mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), akianza kazi katika mazingira magumu, baada ya kukabidhiwa ofisi isiyo na samani, juzi aligeuka kivutio kutokana na uamuzi wake wa kwenda...
janani maandamano yana anzia wapi asubuhi hii kwa sababu nikikosa kwenye maandamano sitakuwa mwana harakati tosha yataanzia makao makuu ya ofic za chadema au ni wapi'? Ni vyema nikajua ili...
muheshimiwa halima mdee tunakuomba kutembelea barabara yetu ya africana mpaka salasala tunateseka sana na ukizingatia jana mvua ilinyesha sana tumeshindwa hata kupita shida tupu tufanyie mchakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.