Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu naona DR Slaa anaweka vitu vya maana sana kule FB si vibaya tukapeana na sisis na tuvijadili hizi ni za leo ""Watanzania tunataabika kwa maamuzi yetu wenyewe.Tuna miaka mingine mitano ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Hivi ni experience yangu tu ama ni wote? Maana nimegundua kwa siku tano sasa roads za Dar zimepungua foleni, sijua wakazi wa mji huu wamepungua ama ni aje wadau! Tujuzane KULIKONI!!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
whether you are a man or a woman; if you are a woman,you're safe if you're a man,two things involves whether you,ll work as a civilian or military. If civilian you're safe but if military,two...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Harakati ya mabadiliko ya kweli huanza kama wazo la mtu mmoja na kutoa ushawishi na msukumo kwa wengine kama kikundi na mwishowe jamii kwa ujumla ikiunga mkono wazo husika. Itakumbukwa kuna Post...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
This x-mass nilisafiri kwenda Z'bar (Unguja) kwa ajili ya matembezi. Katika yote issue ya usafiri wa speed boats (I used Azam Marine boats) niliona yafuatayo ambayo yanahitaji mamlaka na wasafiri...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi nashindwa kuele ka viongozi wetu wanakuwa na nia yakweli kuhusu hii nchi?kwani mbona kama wanaichukuliakama siyo nchi yao na wala siyo wajibu wao kutumikia wananchi??Kwani nivitu vingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BAADA Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kurudi michezo kwenye shule za msingi nchini Umitashumta yaliyomalizika hivi karibuni Kibaha, Pwani na Mbeya kutwaa ubingwa katika mchezo wa soka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema linatarajia kuhamishia nguvu zake za kupambana na wahalifu katika eneo la Kimara na Kawe, kwa kile lilichodai kuchoshwa na vitendo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAKATI Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), ikijipanga kutekeleza agizo la Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu la kuvunja mkataba wake na kampuni ya Majembe Auction Mart...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
On July 29th, returning from a trip to Europe, Jacob Appelbaum, a lanky, unassuming 27-year-old wearing a black T-shirt with the slogan "Be the trouble you want to see in the world," was...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
:drum: Dr Edward Hoseah ni nani? waja JF hebu nusaidieni. nimesoma na kusikia mambo mengi kuhusu Dr Hoseah ila sijapa wasifu wake mpaka sasa. Nisaidieni kupata cv yake na nguzo hasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ZAIDI ya raia 46 wa Somalia, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kuishi nchini bila ya kuwa na vibali. Kamanda wa Kanda hiyo, Suleiman Kova...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAUWAJI HAYA YATISHIA USALAMA IRINGA MJINI.... Askari kanzu wakikata kamba ili kushusha mwili wa kijana Nico Chalela aliyokutwa amejinyonga kiaina huku akiwa amepiga magoti jambo ambalo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Manispaa ya kinondoni ndio inayoongoza kwa wizi,ubadhirifu,kutokuwajibika,miradi isiyo tekelezeka mfano: ujenzi wa daraja la makongo juu (jirani na msitu wa jeshi) kuunganisha na maeneo ya Goba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zilizotofikia punde zinasema mod yuko mbion kutoa misamaha ya ban kwa wale wotewaliopindisha sheria kwa mwaka 2010 na hii ikifwatana na onyo kali kuingia 2011Pamoja na hayo naomba...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
27th December 2010 B-pepe Chapa Maoni Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige. Wauza mkaa katika eneo la kijiji cha Chekeleni, wilayani Korogwe mkoani Tanga, walivamia gari la Waziri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninataka kutumia OPERA kama web browser engine lakini kama ni nzuri na kama ipo faster. Kwa ambaye anatumia/ametumia anijuze.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali imeingia ubia na Kampuni ya East Africa Power Pool wa kuzalisha umeme wa upepo mkoani Singida utakaogharimu zaidi ya Sh. Bilioni 180. Akizungumza mjini hapa juzi, Naibu Wazir wa Viwanda...
0 Reactions
0 Replies
39K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limezuia maandamano ya Chama cha Wananchi (CUF) yaliyoandaliwa kufanyika leo kwa lengo la kuwasilisha kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahabusu zaidi ya 20 wa kesi za mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha mkoani Ruvuma, wamegoma kuingia kwenye gari la polisi wakidai kesi zao zimekuwa zikichukua muda mrefu na kuahirishwa mara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom