This show is running on CNN today:
Banking revolution saving lives in Africa - CNN.com
Mobile banking boom in Tanzania
CNN's Marketplace Africa offers viewers a unique window into...
wakuu, heshima mbele!
nimevumilia kugombania daladala kila nitokapo na kurudi nyumbani nimechoka!!nimeamua potelea mbali kama noma na iwe noma na mm nataka nishiriki kuongeza foleni ya magari Dar...
MUNGU hatupi mja wake na ulemavu si mwisho wa maisha, kwani sasa wanafunzi wawili wa kike yatima na wakazi wa hapa ambao wameungana kiwiliwili watajiunga na sekondari ya Jangwani ya Dar es Salaam...
JESHI la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu wawili wanaotuhumiwa kujihusisha na uuzaji wa viungo vya binadamu kwa mfanyabiashara wa mafuta mjini Songea mkoani Ruvuma.
Akizungumza na...
KAZI kubwa ya madiwani wa Manispaa ya Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo ni ukusanyaji na kudhibiti watu wanaotafuna mapato...
MOJA ya habari kubwa za gazeti hili juzi, ilihusu kuwapo kwa baadhi ya mawaziri wanaotumia nafasi zao kutafuna fedha za serikali vibaya.
Taarifa hiyo ambayo iliwashtua wengi kutokana na simu...
WATU wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa na wananchi baada ya kukutwa na silaha ya kivita aina ya AK 47 na risasi 424 na maganda 14 katika Kijiji cha Sirori, Wilaya ya Serengeti, Mkoa...
Wana janvi habari zenu na poleni kwa shughuli za hapa pale.
Naombeni ushauri na maelekezo kuhusu utungaji na uandishi wa vitabu.
Mimi naishi mkoani, nimekuwa nikiandika vitabu lakini sija...
TAFRANI KIKAONI! Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support, David Sutton akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu baada ya Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jenerali...
Hivi nitapata wapi diploma ya sociology,nina ndugu yangu hana kigezo cha kusoma degree kwa maana ya matokeo yake si mazuri. Chuo kiwe cha hapa hapa Tanzania.
Ndugu zangu nina shida kidogo. Mimi nina ndugu yangu anatafuta pa kusoma diploma ya sociology hapa Tz,hivi chuo gani kina kozi hiyo ngazi ya diploma? Tayari yupo kwenye ajira na sharti la ajira...
Priest and Nobel Peace Prize candidate, 85, admits child abuse 40 years ago
Last updated at 6:57 PM on 29th December 2010
Francois Houtart, Belgian sociologist and Catholic priest who...
Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido.
Wanajf mbeya tunaomba updates.
Nilishitushwa sana na kauli ya waziri wa sheria na katiba celina kombani
aliyoitoa wiki chache zilizopita kuhusu msimamo wake juu ya madai ya
katiba mpya sababu kubwa ikiwa,eti katiba iliyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.