Viboko ilikuwa sehemu ya maisha yangu nilipokuwa shuleni au nyumbani.Adhabu hii wala sikuichukia, ingawa nilipochapwa niliumia.Hata hivyo mara nyingi nilipochapwa iwe shuleni au nyumbani nili...
Hello JF,
I hope some of you were enjoying pay TV services from GTV. Now that the company has been liquidated, the service was terminated. I know some may have already changed the decoders and...
Siku hizi imekuwa fashion maharusi kuzunguka mabarabarani ili kujionyisha kwa umma baada ya harusi kufungwa.
Mizunguko hii inamaana gani lakini?
Mara nyingi husababisha msongamano wa magari...
MIMI NI MMOJAWAPO WA WATANZANIA WANAOPENDA KUONA NCHI YETU INAONGOZWA NA VIONGOZI WAADILIFU KABISA.
LAKINI NASHAURI TUSIWATANIE NA KUWAZOMEA, NA KUWAKEJELI WALE WANAOTUHUMIWA KWA KUTOKUWA NA...
Kwenye magazeti ya leo kumechapishwa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotelewa na MCT kuhusu uandishi usiozingatia maadili wa kutukanana na kuumbuana miongoni mwa baadhi ya vyombo habari...
RAIA MWEMA
Februari 18, 2009
Johnson Mbwambo
NILIPATA kuandika huko nyuma kwamba nchi yetu hivi sasa inapitia kipindi kigumu mno chenye majaribu ya kila aina. Nilisema kwamba ili...
National Assembly Speaker Samuel Sitta yesterday stood by his recent barring of legislators from discussing sensitive issues still being investigated.
The issues include reports that Home...
Wandungu,
Naomba mnisaidie kujua ni vigezo gani vinatumika kujua hii ni serikali ya awamu ya ngapi, au huyu ni Rais wa awamu ya ngapi. Je ni kubadilika kwa Rais, au ni kuingia kwa ngwe nyingine...
Utata huo ulizuka jana maeneo ya Tandale Magharibi, baada ya wanaume wawili mmoja aitwae Abdul na mwingine Salum kugombania maiti ya mwanamke mmoja aitwae Tausi Hassan [36] kila mmoja akidai...
Katika familia zote duniani baba mwenye busara na mama mwenye upendo wanapofariki, vilio huwa vingi na mashaka huzikumba familia. Baba ambaye ni baba tu kwa sababu alioa na kuzaa watoto na mama...
Huyu jamaa alichofanya ni kitendo ambacho kitaonekana ni cha kishujaa. Lakini akili tulizopewa na Mwenyezi za kutambua mazuri na mabaya huenda zimetuzidi. Ni mtu gani mwenye akili timamu anaweza...
"Shoot at that Muslim": David and Goliath at Mwembechai
It was in the afternoon of 13 February, 1998 that policemen armed with live ammunition were ordered to open fire at the people who were...
As I walk and talk to the regular folk everywhere, one thing that is clear is that majority of we Tanzanians are very UNHAPPY. Among the things I hear ; I am unhappy because my neighbor is dying...
Waungwana kitu hicho.
The Julius Nyerere Master's Scholarship
Posted by: Webmaster on 16-Feb-2009
The University of Edinburgh will offer a Scholarship to a student from Tanzania for...
Jamani tunaomba nyie mliopo DAR mwendelee kutupa nyepesi za kesi hiyo kwani hakuna update baada ya 12/02/2009 baada ya BAGEN. tuendelee kwani tuna shauku ya kusikia wasemanyo watuhumiwa wengine...
New Imam, Shaaban Mkindi (Left) Bakwata chairman for Bondeni Abdallah Salim (Center) and the area religion sovereign Sheikh Abdulkadir Omar at the Bondeni mosque last weekend.
Abdulaziz Shaaban...
Nilikuwa nafanya utafiti wangu wa kawaida katika internet, ghafla nikaona link ifuatayo:| Illuminati News | The Secret Order of the Illuminati.Nomba uisome mwenyewe halafu uamue Barack Obama...