Wadau nikipitia habari za dunia na nikakutana na hili..
://www.chicagotribune.com/news/nationworld/sns-ap-odd-nuns-beauty-contest,0,5202028.story
ROME (AP) _ An Italian priest and theologian...
Zitto awabana mawaziri
na Salehe Mohamed, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) Zitto Kabwe, amewalaumu mawaziri na baadhi ya viongozi wa serikali kwamba wamechangia kuyaua mashirika...
Majambazi yenye sare za Jeshi la Rwanda yauawa
*Yakutwa na silaha nzito yakiwemo mabomu
Na Esther Macha, Mbeya
MAJAMBAZI watatu yakiwa na sare za Jeshi la Rwanda yameuawa na wananchi...
Clinton tells voters to send Obama to White House
Hillary Rodham Clinton summoned millions of voters who supported her in the primaries to send Barack Obama to the White House Tuesday...
Mimi ninaishi eneo la Manzese Uzuri. Katika eneo hili kuna familia moja ambayo imeishi nje kwa wiki mbili sasa. Familia hiyo ilikuwa inaishi kwenye nyumba ya uridhi. Nyumba hiyo waliachiwa watu...
JKT haikuwa na lengo la kuwafanya watu wasipiganie haki zao!!! Hivi wale jamaa (Makamanda) wamebadilika au wako vile vile? Nina wasi wasi kama wakiendelea kama enzi zile watayaoga makonde...
Tayari tuna Thread maalumu kwa ajili ya Barack Obama, lakini naona ni vyema na haki kuwa na thread tofauti kwa ajili ya John McCain hasa kwa wale ambao tunaamini McCain atafanya kazi nzuri zaidi...
Mtanzani Afariki South Africa, Alikuwapo Huko Tangu Mwezi Wa Kwanza Akisoma Shahada Ya Pili,pia Alikuwa Akifundisha Chuo Kikuu Cha Tumauni Huko Iringa, Kwa Mujibu Wa Tarifa Anatalajiwa Kupelekwa...
Priest to hold nun beauty pageant
BBC News Online
Internet users will be able to choose their favourite nun from photographs
An Italian priest says he is organising the world's first...
Majambazi yavamia kwa bomu, yaua Mkurugenzi
Na Suleiman Abeid,Shinyanga
WATU wanaohisiwa kuwa majambazi wamevamia Kiwanda cha kuchambua Pamba na Kusindika Mafuta ya Kula kiitwacho Nsagali...
Baada ya Mikoa ya Shinyanga na Tabora Kuwa katika gizani kutokana na hitilafu Kwenye transfoma inayopeleka umeme katika mikoa hiyo, sasa wakazi wa Mkoa wa Shinyanga wamekumbwa na uhaba mkubwa wa...
KIjana mmoja wa kikurya alikuwa akitafuta kazi. Kijana huyo alikumbana na tangazo la kazi katika gazeti moja, sharti mojawapo la muombaji anatakiwa kuongea na kuelewa lugha ya kiingereza. Na...
Please don't miss to read it to the end, but you need time.
MISCOMMUNICATION AND NON-COMMUNICATION ARE TOO DANGEROUS IN A MARRIAGE OR ANY RELATIONSHIP - A LOT OF LESSONS IN HERE
This...
1. Take a 10-30 minute walk every day. And while you walk, smile. It is the ultimate anti-depressant.
2. Sit in silence for at least 10 minutes each day. Buy a lock if you have to.
3...
By Iain S Bruce
AN INTERNATIONAL criminal gang has pulled off one of the most audacious cyber-crimes ever and stolen the identities of an estimated eight million people in a hacking raid that...
Mwl wa nidhamu wa shule ya sekondari Chemchemi mkoani Singida ameuwawa kwa kuchomwa na kisu kifuani. Mwl huyo amechomwa kisu na wanafunzi wake hao, kwa sababu alikuwa anamfuatilia mmoja wa...
Hii wanafanyiwa na watu toka mabara mengine au ni Afrika tu ili watupakazie kwamba sisi kwa forgery ndio wenyewe? Halafu wanasahau kwamba Afrika hata extended family members tunawahesabu kama ni...
Nimesoma habari hii halafu nikawaza masuala muhimu ambayo tumewatuma wabunge wetu kwenda Dodoma kuyawasilisha na yakakosa muda na nikalinganisha na hili ambalo wabunge wetu nusura wapitilize hata...