Kumetokea patashika nguo kuchanika kati ya ASKARI WA JIJI na wananchi WENYE UCHU NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA muda wa dakika kama kumi zilizopita.
Patashika hiyo imetokea mtaa wa samora...
Labda Watanzania ipo siku tutamkamata Ballali maana kifo chake bado kina utata mkubwa
Canoe man and wife jailed for six years
Angela Balakrishnan and Lee Glendinning
guardian.co.uk...
Wakati wakiendelea kumiminika katika nchi mbali mbali za Africa, kumbe wanatuona sisi ni 'social undesirables'!!! Wakati wao hawataki tuingie kwenye baa zao sisi tumewafungulia mipaka yetu...
Patakuwa hapatoshi hapa bungeni
Moshi wa EPA wafukuta upya
Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango ambaye aliapa bungeni kwamba pesa iliyoliwa kwenye akaunti...
Vita hii ni zaidi ya ufisadi
Mwandishi Wetu
SIYO siri kwamba wapo wabunge ambao sasa wakisimama bungeni, kuuliza swali au kuchangia hoja yoyote, wabunge karibu wote hutulia na...
Hii ni kweli na wala haina chenga.
Nilikuwa moshi jana tu na kuthibitisha.Kuna grocery moja maarufu maeneo ya shanty town karibu na hospitali ya KCMC ijulikanayo kama 'UP TOWN GROCERY'...
Mtikila aenguliwa mwenyekiti mwakilishi TCD
2008-07-23 09:38:34
Na Simon Mhina
Umoja wa vyama visivyo na wabunge umemuengua mwenyekiti wa chama cha Democratic, Mchungaji Christopher...
Kibarua kigumu kumbana Kubenea.. Dk Slaa aingia, Polisi sasa wahaha
Na Mwandishi Wetu
KAULI ya Mbunge Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk Wilbroad Slaa...
Uongozi ndilo tatizo kubwa kabisa linaloikabili nchi yetu sasa hivi na tunaweza kuona hilo CCM, serikalini, Chadema na kwenye taasisi mbalimbali. There is big vacuum of leadership. Tunao watawala...
... huyu jamaa, m serbia ambaye alikuwa 'mafichoni' kwa zaidi ya miaka 11 tangu kuangushwa kwa utawala wa Milosevic amekamatwa.
Mbaya zaidi, miaka yote hiyo alikuwa anaishi Serbia, kama...
http://www.dubai-architecture.info/DUB-GAL1.htm
Yaani kuanzia 1990 kabla ya hapo ni jangwa tu ,je sisi Tanzania tunaowakilisha utoaji wa madini ambayo ni ghali kuliko madini mengine yeyote...
Obama's recent trip to the Middle East to boost his foreign policy has bore fruits.Iraqis seem to like him but remain divided on his policies.
"I support Obama. I think he is the best for Iraq...
Polisi Jijini wazidi kuwasomba makahaba
2008-07-21 19:15:44
Na Moshi Lusonzo, Polisi Kati
Wanawake 21 na wanaume watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Mkoa wa Ilala...
Ivory Coast halves government pay
BBC News Online
Ivorians walked to work during last week's strike
The Ivory Coast government is halving the salaries of its ministers to pay for a...
Naam maana zinatumika kufanyia ufisadi.
NCCR - Wake wa marais wasianzishe taasisi Ikulu
na Salehe Mohamed
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimewataka wake wa marais...
Je, unafahamu kampuni lolote lililo Tanzania ambalo liko certified ku-process and kupack bidhaa mbalimbali kama korosho, ukwaju au spices zozote zinazopatikana zanzibar au sehemu yoyote Tanzania...
katika ATM ZA barclays bank kuna ujumbe unaosema ikiwa atm haifanyi kazi piga namba hii bure.kwa lugha ya kigeni call this number when the atm defaults (toll free), hapa kwenye hii huduma ukipiga...
Tanzaniaaa Tanzaniaaaa!!
Nakupenda kwa moyo woooteee
Nchi yangu Tanzaniaaaa
Stori zako ni tamuu saanaaa!!
Nilalapo namwaza Vijisentiiii
Niamkapo Mkapa baba weee!
Tanzania Tanzaniaaaa...