Juu ni picha ya gazeti la wamiliki wa mtandao wa www.tzuk.net (tzuk.com).
Likiwa kama nakala ya kwanza ya gazeti, nathubutu kusema kuwa limetulia, lina kurasa 15, zile zenye habari,picha na...
ama kweli tz hatuko huru,na uhuru wenyewe ni kharaha kabisa..katika zurula yangu sehemu mbalimbali nimefanikiwa kupita Mkoa wa Kagera baadhi ya sehemu.
jamani!!!!!!kuna belia(vuzuizi barabarani)...
Inaelekea mkuu wa nchi haelewi njia za kukuza viwango vya makandarasi wetu.
Kama miradi karibu yote wanapewa wageni kwa asilimia 100, je hawa wa kwetu watajifunza vipi? Hakuna technology transfer...
Hope mko sawa,
Kuna mtu wangu wa karibu katumiwa email iliyo andikwa kama ifuatavyo,
Hello
PLEASE READ AND GET BACK TO US IF YOU ARE INTERESTED ( NOT SCAM)
AuPair is an International...
If you are preparing for a career in IT or are new to IT, many of the dirty little secrets listed below may surprise you because we dont usually talk about them out loud. If you are an IT...
Wikiendi hii nilienda kuwacheki masela, mabaharia na machizi basi hapo ndani ya Upper West Side ya Soweto, six degrees north of nowhere -ruptured from the fabric of spacetime continuum if you get...
> Jumanne Mei 06, 2008 Habari za Kitaifa Habari zaidi! Aliyekutwa na kichwa cha mtoto kortini kwa mauaji Veronica Mheta na Emil SimonDaily News; Tuesday,May 06, 2008 @00:03 Habari nyingine...
Tatizo:
Kufurika kwa maji katika mitaa ya Jiji la Dar-es-Salaam na kusababisha usumbufu mkubwa kwa magari, wapita njia na uharibifu wa barabara na majengo.
Kwa miaka nenda rudi maeneo ya...
Mtoto wa Mbunge Keenja afutiwa dhamana
Habari Zinazoshabihiana
Baada ya bintiye kunyimwa dhamana...Keenja aingilia kati, yatolewa 27.03.2008 [Soma]
'Mtoto' wa Mbunge kizimbani...
Kamati Maalum ya kupitia mikataba ya madini bado kukabidhi ripoti
Na Kizitto Noya
KAMATI Maalum ya kupitia upya mikataba ya madini haijakabidhi ripoti yake kwa Rais Jakaya Kikwete tangu...
Haya ndiyo mapenzi ya dhati kwa mujibu wa wenzetu wa Mkoa wa Mara?
Binti akatwa masikio yote katika kituko cha ndoa ya kulazimishwa
Na Frederick Katulanda, Tarime
MSICHANA Robhi Thomas...
Wanafunzi 1,200 wafukuzwa Shule
2008-05-06 10:35:51
Na Patrick Chambo, PST Mwanga
Wanafunzi zaidi ya 1,200 wa Shule ya Sekondari ya Kifaru iliyopo wilayani Mwanga wamefukuzwa baada ya...
Wananchi ruksa kupinga maamuzi ya bunge
2008-05-06 10:31:53
Na Gaudensia Mngumi
Iwapo wananchi hawakuridhika na uamuzi uliofanywa na Bunge au wamebaini kuwepo kwa kasoro kwenye baadhi...
nashindwa kufahamu nini kimemsibu JK mbona hatoi jina la mbadala wa Andrea Chenge'vijisenti',au anaandaa major reshuffle miezi miwili tu baada ya kufanya mabadiliko yale yaliwaondoa baadhi ya...
Kutokana na migogoro ya mara kwa mara inayotokwea chuo kikuu cha Dar es salaam nimefanya uchunguzi na kuongea na makundi mbalimbali ya wanafunzi walimu na wafanyakazi ambao kiujumla wanaelekeza...
jamani kuna mtu anatokea LINDI kwa kina salma ameniambia kuwa mama salma kikwete na hawa ghasia ni ndugu ....yaani mtu na dada yake au kitu kama hicho..
nikajiuliza pamoja na kuwa si kosa ndugu...
Kutokana na tuhuma nyingi amabazo zimekuwa zikielekezwa kwako nawewe kukaa kimya bila ya kujibu lolote inatutia mashaka wananchi wenzako.
Madai ambayo yanatolewa juu yako ni mengi muno...
Kwa kuwa Baba wa Taifa mwalimu Nyerere alichukia sana rushwa na ufisadi, na kwa kuwa mafisadi hawa walijua wazi msimamo huo wa mwalimu na wamefanya ufisadi huu baada ya kifo cha mwalimu, na kwa...
Jamani tumepiga siasa za kutosha na mara nyingi tumekuwa tukitupia lawama utawala kitu ambacho ni sahihi tu kama pia wananchi nasi tunamikakati endelevu.
sisi wananchi pia kwa namna moja ama...