Leo ebu tulimulike ili shirika la Tazara.
Am told kuna urasimu wa kusafirisha mizigo ya Tanzania such that behewa zaweza toka tupu toka DSM kwenda New Kapiri Mposhi more than 1000 km
Ukiuliza...
WIto huu usitafsiriwe kuwa sign ya ku-give up mapambano ya kutafuta haki instead it is calling for an action.
Takriban kila wiki,kama si kila siku,mwana-JF mmoja au mwingine anamwaga habari...
Miongoni mwa jamii ambazo mawazo yake ni rahisi kutambulika na kufunikwa ni jamii za kitanzania , kutokana na uzoefu nilionao katika kusoma hoja na mada zingine nyingi za watanzania sehemu nyingi...
Mapolisi barabarani siwaelewi,hasa MIKUMI wamezidi! Magari makubwa wakisimamisha huenda moja kwa moja kwa mlango wa dereva nakuufungua! Basi utaona dereva kanyosha mkono na askari anapokea KITU na...
World Bank draws fresh clout through TASAF
2008-03-17 09:03:17
By Perege Gumbo
The World Bank has mentioned Tanzania Social Action Fund (TASAF) initiative as proof that its community-driven...
French voters deliver stinging verdict on Sarkozy's first year·
. President's party suffers losses in local elections
· Socialists celebrate, but fail to claim Marseille prize
Alasdair...
Kama huu ndio utendaji wa serikali ya JK, sijui hiyo kasi mpya alikuwa anamaanisha kitu gani. Nilidhani cabinet ingekuwa inakutana kila wiki but it seems JK huo muda hana. Tutafika kweli...
Nigerian deals 'wasted billions'
BBC News Online
Olusegun Obasanjo is still influential in Nigeria's ruling party
Some $2.2bn-worth of Nigerian energy contracts were awarded without a...
Ndugu Watanzania napenda kutoa maoni yangu ambayo kwa namna moja au nyingine, nimekuwa nikiumia sana tena sana kwa mambo ambayo yanatokea Tanzania
Katika Hospitali zetu tumekuwa na matatatizo...
2008-03-15 08:54:40
Na Dunstan Bahai
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu, amesema thamani ya Shilingi imepanda kutokana na benki hiyo kujitahidi kudhibiti mfumuko wa...
Mwema alitishia sana kwamba ana orodha ya "wazungu wa unga", na kudai kwamba karibu ataitoa hadharani bila kujali vyeo vyao. Nikajiuliza kwani mkuu wa polisi akiwa na orodha ya wahalifu anatoa...
Nimekuwa nikijiuliza kuwa huko bungeni huwa kuna nini kinachowafutia wa watanzania wengi wapende kuwa wawakilishi wa wananchi/wabunge??????Unakuta mtu alikuwa Mkurugenzi wa shirika kubwa,au...
Tangazo La Shughuli.
Familia Ya Kina Kilemela Ya Great Ormond Street London, Ina Furaha Kuwatangazia Shughuli Ya Ngoma Ya Binti Zao, Asia Na Fatma Kilemela Itakayofanyika 65 Orde Hall Street...
Hodi janvini kwa heshima na taadhima.
Mimi nimeguswa na kusikitishwa na wizi unaofanywa na hizi financial institution zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali. In my case i will use B Blue...
Tunasubiri kuona kama ripoti ya EPA licha ya kutaja walioiba fedha zetu na kuzirudisha kinyemela itatuambia pia kuwa watasimamishwa mahakamani kwa kuhujumu uchumi, kujipatia mali kwa njia ya...
We need weeks to decide on support, says Finland
2008-03-14 09:25:40
By Guardian Reporter
Finland said yesterday it needs a few weeks to know whether the reported massive misuse of funds...
Kwa masikitiko makubwa sana nashindwa kuamini kile kinachoendelea kwenye taifa hili eti kuna mtu ama watu wanaweza kutuibia mabilioni ya pesa na kisha wakigundulika wanaambia warudishe na hakuna...
Wakuu, hii imekaa vipi? Naona wanajeshi wetu wako Lebanon, na Wengine wanaelekea Comoros. Is this economical? Who is financing? What are the benefits to us?
Is it not cheaper and more effective...