Napenda kujiendeleza kielimu,ingawa ni mtu mzima wa zaidi ya miaka 50( Elimu haina mwisho)
My intention is to pursue a bachelor's degree in Commerce.I am a working man and for the last 20 years...
CCM yasikitishwa Rais Jakaya kuhusishwa na ufisadi
Mwandishi Wetu
Daily News; Wednesday,March 12, 2008 @00:03
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kauli ya kumtuhumu Rais Jakaya...
Waheshimiwa Waungwana wa Jambo Forums,
Napenda kujitokeza kwenu kutoa ushauri wangu wa jinsi ambavyo tunaweza kuanza kuitumia taasisi hii nyeti katika kuleta maendeleo na mabadiliko pamoja na...
Mafisadi wafanye ufisadi wao! Halafu siri kali inaogopa kuwashughulikia eti kuna hatari kwamba nchi inaweza kulipuka! :confused:
This does make sense at all! Both of you (Mwanyika and Mwema)...
MWANAMKE ni kiumbe wa jinsia ya watu wanaoonekana wazuri wa sura na maumbo, wenye maumbo laini na teketeke na waliojaa uoga mwingi na aibu tele.
Sifa hizo za maumbile yake ni za kiasilia za...
Changamkieni tender wkuu mlioko Seattle
How far would you go to help wipe out one of the world's worst scourges?
Seattle-area residents will soon be able to go all the way: allowing...
Sell your story to Pwani News
HOW can I contact Pwani News?
The fastest way is to call our journalists on 0784 360204 (from outside the TZ dial +255784 36204).
You don't need to worry...
Haya jamii za wavuvi, huyu bwana ni mvuvi na je angekua mitaa ya
kwenu, m'ngemtenga ama vipi?Kweli ulimwengu wa musa ni mkubwa!!! Tazama link:
http://www.eastafricayote.com/showthread.php?t=943
MABADILIKO YA KWELI! UHURU WA KWELI!
KONGAMANO! KONGAMANO! KONGAMANO!
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani,Wanawake wa CHADEMA wameandaa Kongamano Kubwa la kihistoria na la...
Tanzania ya Uwazi na Ukweli!!!
Napata shida sana kuelewa kwa nini watanzania tunahangaika sana, kuzua na kubuni mambo ambayo ni haki ya kila mwananchi.
Sijajua kwa nini taarifa za mafisadi...
Praise be to the government
Adam Lusekelo
Daily News; Tuesday,March 11, 2008 @17:01
I WOULD like to greatly congratulate the government for succeeding where other governments in most of...
Kwa kuwa pesa ni ya wananchi basi ni vyema hao mafisadi ili watambuliwe kuwa ni raia wema waombe msamaha kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kurudisha pesa walizopata kidanganyifu. Bila hi9vyo...
Siku ya Jumamosi tarehe2 mwezi February mwaka huu majeshi ya uasi yalifika katika mji mkuu wa Chad N'Djamena wakiwa na maroli na silaha za nguvu. Wakiwa hapo palitokea vita kali kati yao na...
Jamani watanzania mimi ni mwanafunzi lakini naomba swali hili nisaidiwe jamani kulijibu.Ni kwa kipindi kirefu nimesikia migogoro ndani ya chuo kikuu cha Dar Es Salaam.
Chuo kiku cha dare s...
Nigerian party picks new leader
BBC News Online
Some delegates say the former president holds too much sway
The governing People's Democratic Party (PDP) in Nigeria has elected Vincent...
Mnakumbuka JK anakikundi anachokiita wanamtandao ingawa kikundi hicho sio Rasmi lakini kinajulikana kipo, navingozi wa kikudi hicho ni JK mwenyewe,EL na Rostam Aziz(RA). sasa tunajua yaliyompata...
ZIMEPITA wiki kadhaa sasa tangu matukio muhimu yatokee kule Dodoma yaliyosababisha kutetemeka kwa wenye nguvu na kudondoka kwa walio mahiri.
Matendo yale makuu yatakayobakia kusimuliwa kwenye...