Uzi huu ni Kwa ajili ya wanachama wa chama Cha ma jobless pro max, lengo ni kuzungumzia suala fulani la kimawazo au kimaamuzi linalo fanywa na ma jobless.
Siku za hivi karibuni nime kuwa niki...
Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa...
Kwa wenye experience. Kuna mpangaji amewekewa LUKU yake hana mwezi.
Asubuhi ya leo wanaweka umeme hauingii. Kuangalia Nje wanakutana na nyaya LUKU hazipo imenishangaza sana.
Nimemshauri aende...
Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi...
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata tangu kuanzishwa kwake mwaka 1994, ikiwemo ongezeko la vyuo vya ufundi stadi kutoka 14 hadi 80, kuongezeka...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Leo ngoja nikupe faida za UMASKINI,.
Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote...
Nimefatilia Sana na kuangalia mtu Amalia machozi na wengine wakianzisha umoja wao wa Majobless ili kuendesha harakati za kudai Ajira.
Ni kweli serikali inabidi kuhakikisha inaweka mazingira...
Miaka ya hivi karibuni inashuhudia matajiri wakiongezeka. Wanatunza fedha benki. Ndio maana BONDS zikitangazwa fedha zinatolewa zaidi ya bond. Ina maana watamzania wana fedha kwenye mabenki...
Nipo mkoa X nilishangaa kuona mkoa ambao unaweza kuchukua kufikia masaa 14 kufikia kuwa wanaitaji uwezeshwaji wa nyumba ya ibada.
Hivi hii tabia ilianza pole pole sana ila imekuwa kama muendelezo.
Wanawake wenu na watoto wenu wanaharibika, si kwa sababu yao pekee, bali kwa sababu nyinyi ni watu wa hovyo! Mmesahau majukumu yenu kama viongozi wa familia na jamii, mmekaa kimya mkiona kila kitu...
Dah. aisee kuna changamoto kubwa sana watumishi wa umma haswa waalimu ambao sio wazawa wa mkoa wa manyara.
Kumekua na changamoto ya wazazi kusikiriza taarifa wanazo ambiwa na watoto wao zisizo na...
Wakuu leo nimekumbuka takribani miaka 20 iliyopita nilikuwa kidato cha nne shule ya serikali huko Mbeya.
Sasa pale shule toka tunafika form 1 kulikuwa na malalamiko makubwa sana kuhusu chakula...
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuweka zile password/pin ambazo ukizima simu na kuwasha inadai uingize kwanza password kwenye hiyo line kabla ya kuendelea kutumia hiyo line.
Hebu fikiri, mtu aliibiwa...
Mchawi hana shida na wewe kuwa tajiri as long as your not happy with your money ( mfano uugue Maradhi ya kukusosesha furaha: E.g kukufanya ushindwe kusimamisha vizuri, usile baadhi ya vyakula...
Serikali imemfikisha katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha Afisa mauzo kutoka kampuni ya royal colour paint limited anayejulikana kwa jina la Silvester Charles akikabiliwa na makosa matatu...
Umeamka alfajiri umeingia kwenye nyumba ya ibada hasa ibada ya kwanza kabla ya joto.
Halafu mfukoni una kiasi kidogo cha fedha angalau kununua nyama..kwa maisha yetu nyama tunakula jumapili tu...
Sikiliza, Wanaume!
Baada ya mvua kuisha, mwavuli unakuwa mzigo kwa kila mtu. Ndivyo uaminifu unavyokwisha pale faida zinapoisha. Ukweli mchungu? Watu wengi maishani mwako wapo hapo kwa sababu...
Hali ni tete, joto kali umeme hakuna,
Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO
1. Taa
2. Feni tatu na AC 1,
3. Fridge
4. TV mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.