Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wazawa wanaotoka katika vijiji vya Kondeni, Mawanjeni, na Mitala wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameungana kwa pamoja na kuanzisha ujenzi wa barabara ya Samaria yenye urefu wa kilomita 1.5...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja...
5 Reactions
6 Replies
172 Views
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekabidhi mitungi ya gesi 650 iliyotolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi nchini. Dkt. Mpango ni...
0 Reactions
2 Replies
73 Views
Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee. Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50...
4 Reactions
14 Replies
253 Views
"Wenye shida waliwaona manabii,mitume na Yesu Kristo mwenyewe,bila kulipia fedha inayoitwa sadaka.Na matatizo yao yalitatuliwa bila gharama yoyote. Siyo agizo la Mungu wala mapenzi yake kuwaona...
2 Reactions
8 Replies
246 Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) Mhandisi Joseph Nyamhanga, amezitaka Taasisi za Umma kuzingatia sheria ya ununuzi wa umma ya mwaka 2023 na kanuni zake za mwaka 2024 ambazo...
0 Reactions
2 Replies
76 Views
Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na...
9 Reactions
27 Replies
881 Views
Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi...
0 Reactions
5 Replies
144 Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Kamwene, Leo nimekumbuka tu mtaani kwetu pale Mtaa wa Ramadhani - Njombe kulikua na Identical twins wa kiume, miaka ile tunacheza pamoja wala hakukua na mambo ya TV, basi ile balehe balehe ile...
2 Reactions
4 Replies
177 Views
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amekipongeza kiwanda cha kutengeneza maji tiba cha Kairuki Pharmaceuticals Industry Limited kilichoko mkoa wa Pwani. Ametoa pongezi hizo siku ya Alhamisi Februari...
1 Reactions
2 Replies
123 Views
Ukifatilia familia nyingi zinaishi kwa kutegemea ndugu zao waliopo dar es Salaam. Hivyo mipango mikakati kwa serikali kuendelea kuwekeza DSM iendelee bila kusita. Mimi Moja ya wanafuika wa kuwa...
6 Reactions
9 Replies
202 Views
Huu ni Uzi maalumu kwa waislamu katika siku za ijumaa kupeana taarifa umeswali ijumaa msikiti gani, khatibu wa ijumaa alikuwa sheikh au Ustaadh gani na mada ya khutba ya ijumaa ilizungumzia nini...
3 Reactions
5 Replies
129 Views
UMEME MUSOMA VIJIJINI: MIRADI YA KUUNGANISHA VITONGOJI VYETU INAENDELEA Kazi zilizokamilishwa: 1. Umeme Vijijini (Vijiji 68) - Vijiji vyetu vyote 68 vimeunganishiwa umeme, yaani miundombinu ya...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima...
3 Reactions
16 Replies
401 Views
Habari wanaJF Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu. Mara ghafla na yeye anapokea simu na...
8 Reactions
38 Replies
687 Views
Katika dunia ya leo, tuna swali kubwa kuhusu watu wanavyodanganywa KIRAHISI na manabii wa uongo ambao hapahitajiki akili yoyote kubwa katika kuwatambua. Manabii wa uongo ndio wamekuwa kirusi...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amepiga marufuku wananchi kuwarekodi madaktari na kusambaza video au sauti mitandaoni badala yake waweze kutumia njia sahihi ya kutoa taarifa kwa uongozi...
2 Reactions
7 Replies
260 Views
Back
Top Bottom